Sio Lissu wala Nyalandu mwenye uwezo wa kushindana na Magufuli 2020

Watakusimamisha wewe
 
Kwenye free and fair election magufuri hata ukimsimamisha na chid Benz hatoboi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106]
 
Nimesikia Membe amesaini check huko ufipa kwa ajili ya kila kamanda apate bundle kwa kampeni maalum!
Membe ana laana ya serikali ya Libya,kuhusu zile dollar milioni ishirini,zilizopelekea yule balozi wa libya aliekufa katika mazingira yenye utata,baada ya kukomalia pesa ya nchi yake
 
Membe ana laana ya serikali ya Libya,kuhusu zile dollar milioni ishirini,zilizopelekea yule balozi wa libya aliekufa katika mazingira yenye utata,baada ya kukomalia pesa ya nchi yake
Kabisa mkuu wapo wenye kujitoa ufahamu!
 
Nimeshindwa kuelewa aliyeandika hi mada ni mtoto au mtu, Kama ni mtu mzima tuna Safari ndefu Sana Kama taifa katika kujikomboa kifikra
 
Mmejaa hofu hofu na mashaka ndio yamewatawala tume ipo huru na uchaguzi upo huru ila hamuuziki kwa wananchi!
Uchaguzi wa kumwambia mkurugenzi nimekupa power, gari, mshahara na posho halafu umtangaze mpinzani ?! Huo ndiyo uchaguzi huru ?! UNATANIA CIO ?!.

Kubalini tume huru na katiba ya wananchi muone cha moto

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
 
Sasa unajivunia uchaguzi wa aina hiyo ?! Ni Uchaguzi au lazima ?!

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
 
Dkt.Membe je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…