Getrude Mollel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2022
- 270
- 362
- Thread starter
- #21
hehehehMollel siyo Wamasai
Ni Wachagga pori!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hehehehMollel siyo Wamasai
Ni Wachagga pori!
Hakuna mchaga Mollel acha kuaribia watu lao.Mollel siyo Wamasai
Ni Wachagga pori!
Nimeuliza hiyo ruzuku imemnufaisha vipi Mtanzania wa kawaida? Maana tangu day one ruzuku inatolewa hatukuwahi kuona bei za usafiri zikishuka bali ziko pale pale na kwingineko ndo zimepanda zaidi. Nchi moja unayotaka nikutajie ambayo haipitii wakati kama wa kwetu ni ZanzibarKatika soko huria Serikali ina mkono mfupi sana katika kukabiliana kupanda na kushuka kwa bei ya bidhaa na hasa ikiwa katika bidhaa ambayo nchi kama nchi haizalishi. Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanya jitihada kubwa sana kukabili bei ya mafuta kwa kuweka ruzuku ambayo imefanya atleast bei ya mafuta kuwa 3000k kwa lita, lakini kama sio hii ruzuku tungekuwa tunazungumza habari nyingine hapa. Nitajie nchi moja ambayo haipitii wakati kama wetu?
Nilijua tu akili yako itakwenda Zanzibar. Zanzibar sio nchi, ila Zanzibar wana namna yao ya kuingiza mafuta ambapo Zanzibar hakuna tozo nyingi kama bara, na haina maana kwamba tozo ni mbaya, hapa kila tozo ina kazi yake. Unakumbuka Rais Samia Suluhu alitoa Sh. 100 kwenye kila lita na mwezi mmoja tu, Serikali ikapoteza Bil. 30. Kwa hiyo, tozo huwa hazitolewi unless kuwe na compensation ya fedha hiyo. Halafu, ruzuku haisaidii kushuka bei kila wakati, kuna muda bei haishuki lakini kunakuwa na nafuu. Mfano, ruzuku hii ya Bil. 100 imefanya mafuta yasiwe 4000 kwa lita bali 3000, ipi bora?Nimeuliza hiyo ruzuku imemnufaisha vipi Mtanzania wa kawaida? Maana tangu day one ruzuku inatolewa hatukuwahi kuona bei za usafiri zikishuka bali ziko pale pale na kwingineko ndo zimepanda zaidi. Nchi moja unayotaka nikutajie ambayo haipitii wakati kama wa kwetu ni Zanzibar
heheh mpange huyoHakuna mchaga Mollel acha kuaribia watu lao.
Toka umeachika sababu ya umbea wakoHehehe hata we huolewi. 😂😂😂😂
Wamasai wenzako wanaishi maisha magumu we upo town kutafuta wanaume iliuishiKumbe nina ndugu huko?
Mpuuzi mkubwa wewe, kwahiyo Zanzibar wao hawataki maendeleo?Nilijua tu akili yako itakwenda Zanzibar. Zanzibar sio nchi, ila Zanzibar wana namna yao ya kuingiza mafuta ambapo Zanzibar hakuna tozo nyingi kama bara, na haina maana kwamba tozo ni mbaya, hapa kila tozo ina kazi yake. Unakumbuka Rais Samia Suluhu alitoa Sh. 100 kwenye kila lita na mwezi mmoja tu, Serikali ikapoteza Bil. 30. Kwa hiyo, tozo huwa hazitolewi unless kuwe na compensation ya fedha hiyo. Halafu, ruzuku haisaidii kushuka bei kila wakati, kuna muda bei haishuki lakini kunakuwa na nafuu. Mfano, ruzuku hii ya Bil. 100 imefanya mafuta yasiwe 4000 kwa lita bali 3000, ipi bora?
Halafu Tanzania hatuna stock scarcity, bali tuna price shock. Hakuna foleni za mafuta Tanzania, mafuta yapo yakutosha ambapo ni jambo la kushukuru sana.
Katika soko huria Serikali ina mkono mfupi sana katika kukabiliana kupanda na kushuka kwa bei ya bidhaa na hasa ikiwa katika bidhaa ambayo nchi kama nchi haizalishi. Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanya jitihada kubwa sana kukabili bei ya mafuta kwa kuweka ruzuku ambayo imefanya atleast bei ya mafuta kuwa 3000k kwa lita, lakini kama sio hii ruzuku tungekuwa tunazungumza habari nyingine hapa. Nitajie nchi moja ambayo haipitii wakati kama wetu?
Shida ya Watanzania mkitupiwa mfupa tu mnakufa kwa kusifia.point yako ni nini hasa, andika kama mtu mzima hakuna hoja umejenga hapo, so sad.
Serikali imetenga Bil 150 kugharamia ruzuku ya mbolea itakayotolewa kwa wakulima nchini kwa ajili ya kupunguzwa makali ya bei ya mbolea. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua mpango wa utoaji wa ruzuku ya mbolea katika kilele cha maonyesho ya Nanenane, yatakayofanyika mkoani Mbeya.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Dkt. Stephen Ngailo, alisema ruzuku hiyo, itasaidia wakulima kuongeza uzalishaji wenye tija kwenye kilimo. Pia ruzuku hiyo itasaidia wakulima kuimarisha usalama wa chakula na kuongeza upatikanaji wa malighafi za viwanda vya ndani.
Mbolea ambazo zitatolewa kwa ruzuku ni kwa ajili ya kupandia na kukuzia, aina nyingine za kupandia na kukuzia, zitahusishwa katika ruzuku kulingana na mahitaji ya soko.
View attachment 2305538
🙆🙆😂😂😂. Hivi vinaitwa vitu vyenye ncha kali.mpuudhi mkubwa we, tena shame on you.
Nitajie mtu binafsi anayepanga bei ya mafuta hapa nchini?
Kwa taarifa yako wewe chawa usiyejitambua Bei ya mafuta hapa nchi inapangwa na EWURA ambayo ni Taasisi ya Serikali acha kuleta upuudhi wako wewe kima .
Eti serikali haina mkono, tokea lini? mkunduuu wako umeoza
Matusi ya nn?mpuudhi mkubwa we, tena shame on you.
Nitajie mtu binafsi anayepanga bei ya mafuta hapa nchini?
Kwa taarifa yako wewe chawa usiyejitambua Bei ya mafuta hapa nchi inapangwa na EWURA ambayo ni Taasisi ya Serikali acha kuleta upuudhi wako wewe kima .
Eti serikali haina mkono, tokea lini? mkunduuu wako umeoza
Hamnaga hoja zaidi ya matusi?[emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23]. Hivi vinaitwa vitu vyenye ncha kali.
Hamnaga hoja zaidi ya matusi?
wanastahi kwa nini aandike uongo kwa kitu ambacho ukweli unajulikanaMatusi ya nn?
Mwezi mchanga katika ubora wakoAkina nani? Ni wapi nimesema hiyo ni hoja? Au hujui maana ya vitu vyenye ncha kali?