Sio mafuta tu, Rais Samia Suluhu aweka ruzuku na kwenye mbolea

Nimeuliza hiyo ruzuku imemnufaisha vipi Mtanzania wa kawaida? Maana tangu day one ruzuku inatolewa hatukuwahi kuona bei za usafiri zikishuka bali ziko pale pale na kwingineko ndo zimepanda zaidi. Nchi moja unayotaka nikutajie ambayo haipitii wakati kama wa kwetu ni Zanzibar
 
Nilijua tu akili yako itakwenda Zanzibar. Zanzibar sio nchi, ila Zanzibar wana namna yao ya kuingiza mafuta ambapo Zanzibar hakuna tozo nyingi kama bara, na haina maana kwamba tozo ni mbaya, hapa kila tozo ina kazi yake. Unakumbuka Rais Samia Suluhu alitoa Sh. 100 kwenye kila lita na mwezi mmoja tu, Serikali ikapoteza Bil. 30. Kwa hiyo, tozo huwa hazitolewi unless kuwe na compensation ya fedha hiyo. Halafu, ruzuku haisaidii kushuka bei kila wakati, kuna muda bei haishuki lakini kunakuwa na nafuu. Mfano, ruzuku hii ya Bil. 100 imefanya mafuta yasiwe 4000 kwa lita bali 3000, ipi bora?

Halafu Tanzania hatuna stock scarcity, bali tuna price shock. Hakuna foleni za mafuta Tanzania, mafuta yapo yakutosha ambapo ni jambo la kushukuru sana.
 
Mpuuzi mkubwa wewe, kwahiyo Zanzibar wao hawataki maendeleo?
 

mpuudhi mkubwa we, tena shame on you.
Nitajie mtu binafsi anayepanga bei ya mafuta hapa nchini?
Kwa taarifa yako wewe chawa usiyejitambua Bei ya mafuta hapa nchi inapangwa na EWURA ambayo ni Taasisi ya Serikali acha kuleta upuudhi wako wewe kima .
Eti serikali haina mkono, tokea lini? mkunduuu wako umeoza
 
point yako ni nini hasa, andika kama mtu mzima hakuna hoja umejenga hapo, so sad.
Shida ya Watanzania mkitupiwa mfupa tu mnakufa kwa kusifia.
Huenda umelamba uteuzi au unasaka uteuzi.
Tatizo kubwa hamjawahi kuitakia mema nchi zaidi ya matumbo yenu.
Nchi imejaa matatizo lakini mnakufa kwa kusifia tu kila ujinga.
Mwarusha wa hovyo sana
 

Acheni utapeli wakijinga. Kama mfuko wa mbolea hautashuka hadi 60,000, hakuna ruzuku hapo zaidi ya kuchota watu akili. Mafuta yana ruzuku lakini yanapanda bei kila siku. Katafuteni mafala muwaongopee.
 
πŸ™†πŸ™†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Hivi vinaitwa vitu vyenye ncha kali.
 
Matusi ya nn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…