samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
Wakenya wana mipango, wanajua ni wapi wanaenda na wapi wanataka kuwepo. Sisi tuna kila kitu na hatuna uelekeo. Akili za viongozi wetu ni kama za mazuzumagic.
Tuna madini ya chuma, hatuyaendelezi. Nchi zote zenye maendeleo makubwa, maendeleo yao yametokana na chuma na teknolojia. Sisi tunajudanganya na dhahabu na Tanzanite
kuna mahala kama siasa imeshindwa basi sisi raia tunaweza kuleta mabadiriko kwa kuwapa watu uelewa na kuelimika...jamii ikielimika na kujielewa basi hata mageuzi ya kisiasa huka kirahisi pia..