Sio mpenzi wangu lakini kaninunia sababu nimeshindwa kumkopesha pesa

Mweeeh[emoji16], mie natafuta wa kunikopesha,nisipolipa anioe[emoji23][emoji23]

mzabzab
Tumesanuka siku hizi, kuna manzi mmoja hivyohivyo kanicheki usiku sana anaomba nimkopeshe ya kodi ya anapoishi asubuhi yake nikamtumia. Akiniahidi mwisho wa mwezi atanilipa

Miezi 4 alinizungusha huku ananitega nimlale tumalizane, nilikomaa naye aliilipa akamaliza deni ijapokuwa alikuwa analipa kwa installment

Ilipobaki 50k akajizungungusha sana nikamwendea polisi alipoona barua ya wito jioni yake naona muhamala kwenye simu yangu
 
Mbona kama vile unamtaka ...unalazimisha urafiki WA mwanamke na mwanaume? ....

Mwanamke kama sio demu wako au humtaki kimapenzi huwa mnawasiliana mnaongea nin [emoji23]?

Anashakuona wewe Ni mtoto ...
Kwahiyo wewe kila mwanamke lazima umtongoze ?

Kuna kipindi unaweza kosa connection za kazi za maana sababu ya kutongoza tongoza hovyo

Sio kila mwanamke ni wakutongoza, wengine waache wabaki marafiki tu wa kawaida.
 
Mabazazi hatucheki na kima ๐Ÿ‘๐Ÿพ

*****!
 
Ukitenda mema, watalalamika. Ukitenda mabaya watalalamika tu.

Muhimu ni kufanya kile kilicho sahihi kwako. Jinsi atakavyoona na kujisikia, halikuhusu.
 
Hao usikooeshe kabisaaa mie mpaka leo laki tatu yangu niliambulia bao mbili na gharama ya hotel rum juu yangu. Hawafai kabisa hawa viumbe sema basi tuu mbususu zao tamu
 
Yaani txt moja ukaifungulia uzi mku
Hata lini nchi hii tutaacha kujali vitu vidogo hivi?

Mbona nchi ngumu sana hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ