Sio ndoto, nimeng'atwa na paka kwenye uume

Nilishawahi ng'atwa na paka tangu ninamiaka 6 na sikupata Antirabies vaccine mkuu na mpaka leo nipo.
Kwa hivyo unataka mwenzio alale mlango wazi kwa bahati ya mtu mwingine?
Thunder doesn't strike twice.
Kama mtu amegusa damu ya mgonjwa ebola kwa makusudi au bahati mbaya na hakuambukizwa ugonjwa, unashauri wengine waguse tu damu ya mgonjwa ebola?
 
Nilishawahi ng'atwa na paka tangu ninamiaka 6 na sikupata Antirabies vaccine mkuu na mpaka leo nipo.
Kuna waru watu wana ng'atwa na mbwa kila siku na hawachanji chanjo hawapati rabies na kuna wengine wanang'atwa na kuambukizwa kisha kufa. Sasa unashauri watu wasichanje kinga?
 

UNCLE KWISHAAA HABARI YAKO HARAKA SANA FANYA UWASILIANE NA UNCLE Mshana Jr
 
"Nina uhakika ndoa yako ina less than 5 years, you have a long way to go, mwabamke kumuelewa dogo ni ngumu sana, yaitaji mda, busara, na uvumilivu, achana na masifa ya kwenda na Horse kwa wakwe"

Nimenukuu na nimejifunza pia kwako.....
we live once & once is enough....
 
Uwe unaoga kabla ya kulala mkuu.
Samsingi inanukia kama panya usipooga.

Pole sana mkuu
 
Duh baridi likakuzidi ukaamua kula mbususu ya paka😂😂😂😂😂😂
 
Hata mimi nimeshangazwa na namna paka alivyoweza kuingia kwenye chumba ambacho mlango na madirisha yamefungwa.

Mimi huwa sivaì pyjamas, navuja sana jasho
Kuna uwezekano alikuwepo ndani kabla hujafunga mlango
 
Duh! Kwa hiyo mpaka muda huu hujaenda hospitilini tu
 
Aliyakung'ata ni Paka au Pussy hebu tuweke sawa hapa
 
Paka wa kutumwa huyo, sipati picha angekukuta umelala kifudifudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…