Sio ndoto, nimeng'atwa na paka kwenye uume

Sio ndoto, nimeng'atwa na paka kwenye uume

Nilishawahi ng'atwa na paka tangu ninamiaka 6 na sikupata Antirabies vaccine mkuu na mpaka leo nipo.
Kwa hivyo unataka mwenzio alale mlango wazi kwa bahati ya mtu mwingine?
Thunder doesn't strike twice.
Kama mtu amegusa damu ya mgonjwa ebola kwa makusudi au bahati mbaya na hakuambukizwa ugonjwa, unashauri wengine waguse tu damu ya mgonjwa ebola?
 
Nilishawahi ng'atwa na paka tangu ninamiaka 6 na sikupata Antirabies vaccine mkuu na mpaka leo nipo.
Kuna waru watu wana ng'atwa na mbwa kila siku na hawachanji chanjo hawapati rabies na kuna wengine wanang'atwa na kuambukizwa kisha kufa. Sasa unashauri watu wasichanje kinga?
 
Sio ndoto, ni tukio halisi. Baada ya kuperuzi JF nikampigia mke wangu, maana niko Mafinga nimekuja kufunga mzigo wa mbao kwa ajili ya ujenzi wa shule.

Nilipomaliza kuongea na simu, nimekuja kushtuliwa na maumivu makali sana kitu kimeng'ata uume wangu na kimeushikilia.

Uzuri switch iko hapahapa kitandani, nikakuta ni paka taa ilipowaka akaanza kuhangaika namna ya kutoka kwenye chandarua.

Najiuliza mlango na madirisha nilkuwa nimefunga, kaingiaje? Amewezaje kuingia kwenye net.

Nimejichunguza, siòni damu, ila nina maumivu. Nimemfungulia mlango aende zake. Nimefikia nyumbani kwa ndugu wa mke wangu, walinikatalia kabisa nisilale gesti

UNCLE KWISHAAA HABARI YAKO HARAKA SANA FANYA UWASILIANE NA UNCLE Mshana Jr
1681469016278.jpg
 
Hii miiko ya Wazee wetu ilikuwa na maana, inaonekana kwanza wewe huna siri na privacy, kwa nini unaropoka ulienda kufunga mzigo wambao, sio hivyo tu, ila wa Kujenga shule, hizo details zote za nini?

Kwa nini hayo mambo ya kuongea na mke tena uweke public, kwa nini? Hii inaonyesha una uzaifu mkubwa sana wa kuropoka mambo yako, either kwa kutaka sifa au ni Hulka.

Kwa nini ukalale kwa wakwe? Na wajue ABC zako? Kulala kwa wakwe sio jambo jema sana, ila okay, unalala, kwa nini ukalale wakati mkeo hayupo? Ukiwa kwa wakwe nani mwenyeji wako?

Ukianza safari ya Biashara lazima uwe na nidhamu sana sana, na uache kuropoka, vita vya biashara ni vigumu, na usiwe na ukaribu sana na wakwe, utalishwa vitu vya ajabu uanze kulia lia hovyo, unachezewa michezo utakuja juta.

Unaweza kusema, mke tupo pamoja, bla bla bla, maana hela nikipata kapata yeye, kuwa utayaona, unaweza kuwa na mke, anakula kwenye biashara yako, halafu akaiharibu kishirikina kabisa.....

Mimi nashangaa sana watu wanasema ushoga sio mila zetu, mambo mengi sio mila, mke sio wa kushirikisha mambo yote, una mchenga chenga kwa akili, watu wengi wamepotea kwa sababu ya wake zao, wengine kufa kabisa.

Nina uhakika ndoa yako ina less than 5 years, you have a long way to go, mwabamke kumuelewa dogo ni ngumu sana, yaitaji mda, busara, na uvumilivu, achana na masifa ya kwenda na Horse kwa wakwe.

Kwa kifupi, wakwe hawana msaada kwako wowote, wewe ndo wa msaada kwako, nawakikuona una uwezo, hata kulogwa wewe utalogwa.
"Nina uhakika ndoa yako ina less than 5 years, you have a long way to go, mwabamke kumuelewa dogo ni ngumu sana, yaitaji mda, busara, na uvumilivu, achana na masifa ya kwenda na Horse kwa wakwe"

Nimenukuu na nimejifunza pia kwako.....
we live once & once is enough....
 
Sio ndoto, ni tukio halisi. Baada ya kuperuzi JF nikampigia mke wangu, maana niko Mafinga nimekuja kufunga mzigo wa mbao kwa ajili ya ujenzi wa shule.

Nilipomaliza kuongea na simu, nimekuja kushtuliwa na maumivu makali sana kitu kimeng'ata uume wangu na kimeushikilia.

Uzuri switch iko hapahapa kitandani, nikakuta ni paka taa ilipowaka akaanza kuhangaika namna ya kutoka kwenye chandarua.

Najiuliza mlango na madirisha nilkuwa nimefunga, kaingiaje? Amewezaje kuingia kwenye net.

Nimejichunguza, siòni damu, ila nina maumivu. Nimemfungulia mlango aende zake. Nimefikia nyumbani kwa ndugu wa mke wangu, walinikatalia kabisa nisilale gesti
Uwe unaoga kabla ya kulala mkuu.
Samsingi inanukia kama panya usipooga.

Pole sana mkuu
 
Duh baridi likakuzidi ukaamua kula mbususu ya paka😂😂😂😂😂😂
 
Hata mimi nimeshangazwa na namna paka alivyoweza kuingia kwenye chumba ambacho mlango na madirisha yamefungwa.

Mimi huwa sivaì pyjamas, navuja sana jasho
Kuna uwezekano alikuwepo ndani kabla hujafunga mlango
 
Aliyakung'ata ni Paka au Pussy hebu tuweke sawa hapa
 
Paka wa kutumwa huyo, sipati picha angekukuta umelala kifudifudi.
 
Back
Top Bottom