Sio siri tena, Gamondi ameshafukuzwa sijui Yanga wanaficha nini?

Kutoka vyanzo vya ndani kabisa vya waliopo Yanga, Gamondi ameshapewa mkono wa kwaheri.

Sijui kwanini Yanga hawataki kutangaza?
Unampaje mkono wa kwa heri na bado akaendelea kukinoa kikosi chako? Hersi hawezi kuwa failure wa kiasi hicho kwenye maswala ya management. Gamondi mwenyewe atakuwa mjinga wa kutupwa
 
Unampaje mkono wa kwa heri na bado akaendelea kukinoa kikosi chako? Hersi hawezi kuwa failure wa kiasi hicho kwenye maswala ya management. Gamondi mwenyewe atakuwa mjinga wa kutupwa
Wenye akili huko utopwinyo ni wawili tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…