Sio siri tena, Gamondi ameshafukuzwa sijui Yanga wanaficha nini?

Sio siri tena, Gamondi ameshafukuzwa sijui Yanga wanaficha nini?

Nyie bakini na Mangungu wenu huko shirikisho, Hersi achaneni naye kabisa 😀😀😀 Huo mvurugano uliopo Yanga umeuleta wewe au waandishi mataahira wenzenu kina shaffih dauda 😀 mnahangaika sana kuforce kuilegeza Yanga kwa propaganda uchwara!
Sawa
 
Unampaje mkono wa kwa heri na bado akaendelea kukinoa kikosi chako? Hersi hawezi kuwa failure wa kiasi hicho kwenye maswala ya management. Gamondi mwenyewe atakuwa mjinga wa kutupwa
Utopolo tayali wametoa taarifa rasmi huko haya kiko wapi sasa 😀😀
 
Em rudia maneno yako Tena.
Kiko wapi???
Unampaje mkono wa kwa heri na bado akaendelea kukinoa kikosi chako? Hersi hawezi kuwa failure wa kiasi hicho kwenye maswala ya management. Gamondi mwenyewe atakuwa mjinga wa kutupwa
 
TAARIFA KWA UMMA
Jamqn nche ya topic mwaka juz sijui kuna mwamba alikua a anzisha threads za simba ikicheza alikuwa anawezea hadi raha anatupa updates sijui alikua nani je yupo wapi siku hz jaman muombeni hata sku moja alete zile taarifa zake miaka kama 4 hv ameacha baada ya simba kua haielewwki
 
Back
Top Bottom