bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Unakuta mtu anafanya ushoga nje analibeba liroho kulileta kwenye family yake then akipata mtoto shoga anaanza kulia lia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mheshimiwa uko wapi......🫦Ni kukaribisha laana na mikosi kwenye gari, bajaji au ofisi yako au ya mwenzako..
Acha kabisaa tabia hiyo chafu, ingawa wewe unaona tamu. Gari au bajaji yenyewe umeazima na hiyo ofisi umaajiriwa tu, usikaribishe na kupakaza mikosi kwenye ofisi na gari ya watu tafadhali muungwana.
Ni vizuri kutafuta muda na mahali tulivu pa kushiriki faragha hiyo muhimu na ya heshima sana miongni mwa mahitaji mahususi sana ya kibinadamu kibayolojia kwa uhuru na amani.
Hicho ni kitulizo murua muafaka cha moyo na akili, mnakunjanaje ofisini au kwenye gari chap chap, haraka haraka kama kuku lakini?
Hii aibu na fedheha ya kukuta chupa za vilevi, vipisi vya sigara na baadhi ya nguo za ndani zilizozagaa pasipostahili ofisini, kwenye bajaji au ndani ya gari ni dharau gani lakini?
Ni muhimu sana tukalipa heshima na thamani inayostahili tendo hili la pekee na muhimu sana la faragha kulingana na utamu wake jamani.
Tuepuke kulifanya kimasihara..
Asanti 🐒
Huwa unanikera sana kwa uandishi huo.Nikikukamata ni mboko nyingi sana hadi ukaseme nyumbani kwako kwamba mwalimu King'ang'i hana huruma.kumbradhi na samahan sana mwalimu 🐒
Ni laana kwako ,mkuu sio kwa kila mtu.Ngono yeyeto isiyo halali ni laana thus ndoa hazidumu kwa sababu watu wanabeba sana mikosi nje wanaleta ndani.
Hakuna cha laana wala mikosi tena ngono ya kujipanga sana haina utam wowote ni vile tu heshima ni muhimu.kama kwako ni neema na Baraka well and good gentleman,
but katika ujumla wake hiyo faragha kufanyika maeneo niliyoyabainisha ni kukaribisha laana na mikosi 🐒
actually,Punguzeni kuwaza ngono, asbh yoooote hiii badala ulete vitu vyenye mantiki tayari unawaza uzinzi uzinzi tuuuuu. Waafrika kuna pahala fyuzi zimepelea!
No,hapa nahisi unataka kuniaminisha ngono kwa njia yoyote ile, sehemu yoyote ile ni laana sasa
Hili tendo halihitaji mipango na kujiandaa kama unakwenda vitani popote ni kambi tu ,ndio maana vijana mnaowaita wahuni wanachapia sana ndoa za watu.No,
sehemu nyingine sijui na sifahamu, ispokua nilizozibainisha kwenye hoja pekee, kwamba mnaweza mkafanya ngono nyie na mkatoka salama ila wengine wakachota mabalaa na mikosi kwa uchafu mlofanya nyie pasipostahili kwa kukalia na kujipaka najisi mlizomwaga kwa makusudi au bahati mbaya mahali pale 🐒
nguvu ya najisi inayomwagika ofisini ama kwenye gari kwakato wa tendo kwa kujua au kutokujua inaweza kua laana na mikosi kwa atakae jipaka au kugusa kwa kujua ama kutokujua 🐒Tendo la ndoa ni tukio la kiroho japo linafanyika kimwili, hivyo hata matokeo yake huanzia rohoni kabla ya kudhihirika mwilini.
Kuna baadhi ukizini nao matokeo yake hudhihirika mapema na wengine huchelewa kutegemeana na kiwango cha nguvu hasi za kiroho alichonacho mhusika.
nadhani unashuhudia mwenyewe laana ya mahangaiko katika kutafuta mafanikio inavyowatafuna hivi sasa,Hili tendo halihitaji mipango na kujiandaa kama unakwenda vitani popote ni kambi tu ,ndio maana vijana mnaowaita wahuni wanachapia sana ndoa za watu.
Mapenzi hayana heshima mkuu angalia maraisi aananyonyana ndim na mkewe huoo nje mbele ya halaikiNi kukaribisha laana na mikosi kwenye gari, bajaji au ofisi yako au ya mwenzako..