Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari

Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari

Sijawahi kufanya ngono kwa gari wala bajaji lakini nauliza kwenye nyumba tunakofanyia hiyo lasna haiji? Au ni maalum kwa ofisi na chombo cha usafiri?
 
Sijawahi kufanya ngono kwa gari wala bajaji lakini nauliza kwenye nyumba tunakofanyia hiyo lasna haiji? Au ni maalum kwa ofisi na chombo cha usafiri?
ni muhimu sana tendo lile la maana sana la faragha, tukalipatia heshima, hadhi na thamani kulingana na utamu wake, kwenye kutuliza mwili, akili na mioyo yetu, kwa kulipatia nafasi na uhuru unaostahili 🐒
 
Haya ndii maneno.

Tendo na kiheshimiwe...
Acheni kutushana kwa neno laana
 
Mleta uzi huu inawezekana kuna mambo yamemkera ila ameshindwa kumfikishia/kuwafikishia mhusika/wahusi directly hivyo ameamua kutupa jiwe gizani na inawezekana wahusika ni members humu. Basi wapokee ujumbe wao wa wengine tumepata somo at least.
 
Ni kukaribisha laana na mikosi kwenye gari, bajaji au ofisi yako au ya mwenzako..

Acha kabisaa tabia hiyo chafu, ingawa wewe unaona tamu. Gari au bajaji yenyewe umeazima na hiyo ofisi umaajiriwa tu, usikaribishe na kupakaza mikosi kwenye ofisi na gari ya watu tafadhali muungwana.

Ni vizuri kutafuta muda na mahali tulivu pa kushiriki faragha hiyo muhimu na ya heshima sana miongni mwa mahitaji mahususi sana ya kibinadamu kibayolojia kwa uhuru na amani.

Hicho ni kitulizo murua muafaka cha moyo na akili, mnakunjanaje ofisini au kwenye gari chap chap, haraka haraka kama kuku lakini?

Hii aibu na fedheha ya kukuta chupa za vilevi, vipisi vya sigara na baadhi ya nguo za ndani zilizozagaa pasipostahili ofisini, kwenye bajaji au ndani ya gari ni dharau gani lakini?

Ni muhimu sana tukalipa heshima na thamani inayostahili tendo hili la pekee na muhimu sana la faragha kulingana na utamu wake jamani.

Tuepuke kulifanya kimasihara..
Asanti 🐒
Tusipangiane mkuu
 
Sisi wa kichakani na kwenye majumba mabovu au yasioisha, hii haituhusuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbunge haya ndio mambo utayajadili bungeni
siwez kujivunga wala kuzuia ujana wangu kuutumia uzeeni,

by the way Ukweli ni muhimu ukawekwa wazi mahali sahihi, na ninadhani hapa ni mahali muhimu sana kwa hoja hiyo muhimu sana ya kijamii ama?🐒
 
Sasa hivi ni mwendo wa kujivutavuta tu maofisini ili wafanyakazi watoke baada ya muda kuisha,kinachofuata mtu anaonamishwa au anakalishwa meaning,anapigwa bao moja... huyo anasepa kuipeleka kwa mumewe wa ndoa.
Mama alisisitiza kuwe na siri za ofisini,hatakama hawara kaja.
 
Sasa hivi ni mwendo wa kujivutavuta tu maofisini ili wafanyakazi watoke baada ya muda kuisha,kinachofuata mtu anaonamishwa au anakalishwa meaning,anapigwa bao moja... huyo anasepa kuipeleka kwa mumewe wa ndoa.
Mama alisisitiza kuwe na siri za ofisini,hatakama hawara kaja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi wa kichakani na kwenye majumba mabovu au yasioisha, hii haituhusuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
zingatia zaidi maeneo yaliyobaishwa kwa uchache kwenye hoja ya msingi,

hata hiyo mapepo ya ngono na majini mahaba mengine wengi wanayakwaa huko vichakani na kwenye majumba mabovu

mapepo na majini pia hutamani mijamiiyano ya wazi wazi kwenye maeneo kama hayo 🐒
 
Ngono unaifanyia popote ilimradi huonekani hamna laana yoyote acha uoga nashangaa unaogopa laana ya ngono lakini laana ya goli la mkono huogopi wewe inzi wa kijani
 
Back
Top Bottom