min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Sio kwel mafanikio hayana mahusiano na ngono ,hizi ni imani tu.nadhani unashuhudia mwenyewe laana ya mahangaiko katika kutafuta mafanikio inavyowatafuna hivi sasa,
ule uchafu au najisi inakufanya uvae sura ya mkosi kila mahali unakataliwa mathalani katika kazi, biashara n.k🐒