Sio kwel mafanikio hayana mahusiano na ngono ,hizi ni imani tu.nadhani unashuhudia mwenyewe laana ya mahangaiko katika kutafuta mafanikio inavyowatafuna hivi sasa,
ule uchafu au najisi inakufanya uvae sura ya mkosi kila mahali unakataliwa mathalani katika kazi, biashara n.kπ
chooni kule ambako ndio kambi ya uchafu,laana na mapooza?π€£Unazijua nyβ¬ge ww...au unaongea...watu wanafanya chooni sembuse hizo sehem...
amini usiamini, wapiga nyeto, wasagaji, wafanya ngono kwenye magari na ofisini wana mahangaiko ya kutia huruma kwenye maisha yao..Sio kwel mafanikio hayana mahusiano na ngono ,hizi ni imani tu.
Havina uthibitisho wowote hii nchi sababu ya umaskini ni viongozi wasio kua na maono zaidi ya matumbo yao makubwa kama virobaamini usiamini, wapiga nyeto, wasagaji, wafanya ngono kwenye magari na ofisini wana mahangaiko ya kutia huruma kwenye maisha yao..
wanapitia fedheha binafsi kwa maumivu makali sana, na hawezi kumuhadithia mtu kwasabb ni aibu π
Kukalia na kujipaka najisi ni kwa hizo ulizotaja? Vipi mahotelini? Kwenye vyumba na vitanda vya melini? Sehemu ni nyingi tuu.. na huo ni mtazamo wako ambao hauna uthibitishoNo,
sehemu nyingine sijui na sifahamu, ispokua nilizozibainisha kwenye hoja pekee, kwamba mnaweza mkafanya ngono nyie na mkatoka salama ila wengine wakachota mabalaa na mikosi kwa uchafu mlofanya nyie pasipostahili kwa kukalia na kujipaka najisi mlizomwaga kwa makusudi au bahati mbaya mahali pale π
uthibitisho ni maisha ya mahangaiko na mateso huku walio jiepusha na uchafu huo wakitusua maisha kiulaini huku wengine wakijiuliza mimi nakosea wapi?Havina uthibitisho wowote hii nchi sababu ya umaskini ni viongozi wasio kua na maono zaidi ya matumbo yao makubwa kama viroba
Nikikuambia sio kweli nina maanisha mkuu ,Africa kuna viji mambo vya ajabu sana tunavyojishikiza navyo ,ukija kwenye nchi za wenzetu unaona mambo ni tofauti sana, nakuambia sio kweli naweza piga ngono kwenye gari akaja akazaliwa kiongozi mwenye maono kuliko nyie wa ndio mzee.uthibitisho ni maisha ya mahangaiko na mateso huku walio jiepusha na uchafu huo wakitusua maisha kiulaini huku wengine wakijiuliza mimi nakosea wapi?
kumbe jamaa kasahau uchafu na laana anazofanya au kuchota kwenye magari na maofisi ya watu walipokua wakifanya ngono kitambo π
zingatia hoja,Kukalia na kujipaka najisi ni kwa hizo ulizotaja? Vipi mahotelini? Kwenye vyumba na vitanda vya melini? Sehemu ni nyingi tuu.. na huo ni mtazamo wako ambao hauna uthibitisho
ππMjukuu kabla wazazi wako hawajazaliwa hivi vitu vipo, hivi umewahi sikia skendo ya Ex America President Clinton na Monica Zelewsky?
Mh! Basi huwa unapoteza kabisa fahamu zote hata hizo kidogo ulizonazo katika kufanya hilo zoezi.Baada ya kutoa kyojo ndo mtu anagundua kumbe yupo kwenye gari/Ofisini. Mwanzoni unaona uko sehem flani hivi private ambayo hata kwa tochi huwezi onekana
ile laana ya mume ikampata hadi mkewe Hilary Clinton kwenye urais, aise!πππ
hili jambo sio la Africa gentleman,Nikikuambia sio kweli nina maanisha mkuu ,Africa kuna viji mambo vya ajabu sana tunavyojishikiza navyo ,ukija kwenye nchi za wenzetu unaona mambo ni tofauti sana, nakuambia sio kweli naweza piga ngono kwenye gari akaja akazaliwa kiongozi mwenye maono kuliko nyie wa ndio mzee.
laana ile ilimpa misukosuko sana mume na ikamuandama pia mkewe Clinton na akakosa uongozi kwa kushindwa na kiongozi dhaifu sana asie aminika mstaafu Rais Donald TrumpπMjukuu kabla wazazi wako hawajazaliwa hivi vitu vipo, hivi umewahi sikia skendo ya Ex America President Clinton na Monica Zelewsky?
Kila mtu unamuadress gentleman JF kuna jinsia ya KE piazingatia hoja,
kwenye gari ofisini au kwenye bajaji unaweza kukuta packeti za kondomu? au unaweza kufanya ngono kisha kondomu ulotumia ukaiweka kwenye sehemu ya kuwekea uchafu nyuma ya kiti au pembeni ya mlango right?
chupi unaweza ukaivisha kwenye siti ya dereva si ndio?
kwenda kufanya ngono hotelini au mahali pengine mahususi kwa mipango, uhuru na nafasi ni kulipa heshima, hadhi, thamani, umuhimu na maana zaidi kulingana na utamu wake...
hebu soma vizuri hoja uelewa gentleman π
ndio maana vichwa vyao vikichemka anaweza chomoa bastola na kuwachapa risasi wasio na hatia, ni matokeo ya laana ya kufanya ngono kiholela πHebu wacheni hizo mawazo,,,,,wazungu ndio wenye mafanikio zaidi kwa hiii dunia na ndio mambo zao hizo,,,,,π π π