Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari

Sijawahi kufanya ngono kwa gari wala bajaji lakini nauliza kwenye nyumba tunakofanyia hiyo lasna haiji? Au ni maalum kwa ofisi na chombo cha usafiri?
 
Sijawahi kufanya ngono kwa gari wala bajaji lakini nauliza kwenye nyumba tunakofanyia hiyo lasna haiji? Au ni maalum kwa ofisi na chombo cha usafiri?
ni muhimu sana tendo lile la maana sana la faragha, tukalipatia heshima, hadhi na thamani kulingana na utamu wake, kwenye kutuliza mwili, akili na mioyo yetu, kwa kulipatia nafasi na uhuru unaostahili πŸ’
 
Haya ndii maneno.

Tendo na kiheshimiwe...
Acheni kutushana kwa neno laana
 
Mleta uzi huu inawezekana kuna mambo yamemkera ila ameshindwa kumfikishia/kuwafikishia mhusika/wahusi directly hivyo ameamua kutupa jiwe gizani na inawezekana wahusika ni members humu. Basi wapokee ujumbe wao wa wengine tumepata somo at least.
 
Tusipangiane mkuu
 
Sisi wa kichakani na kwenye majumba mabovu au yasioisha, hii haituhusuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbunge haya ndio mambo utayajadili bungeni
siwez kujivunga wala kuzuia ujana wangu kuutumia uzeeni,

by the way Ukweli ni muhimu ukawekwa wazi mahali sahihi, na ninadhani hapa ni mahali muhimu sana kwa hoja hiyo muhimu sana ya kijamii ama?πŸ’
 
Sasa hivi ni mwendo wa kujivutavuta tu maofisini ili wafanyakazi watoke baada ya muda kuisha,kinachofuata mtu anaonamishwa au anakalishwa meaning,anapigwa bao moja... huyo anasepa kuipeleka kwa mumewe wa ndoa.
Mama alisisitiza kuwe na siri za ofisini,hatakama hawara kaja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi wa kichakani na kwenye majumba mabovu au yasioisha, hii haituhusuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
zingatia zaidi maeneo yaliyobaishwa kwa uchache kwenye hoja ya msingi,

hata hiyo mapepo ya ngono na majini mahaba mengine wengi wanayakwaa huko vichakani na kwenye majumba mabovu

mapepo na majini pia hutamani mijamiiyano ya wazi wazi kwenye maeneo kama hayo πŸ’
 
Ngono unaifanyia popote ilimradi huonekani hamna laana yoyote acha uoga nashangaa unaogopa laana ya ngono lakini laana ya goli la mkono huogopi wewe inzi wa kijani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…