Sio utamaduni wa wanaume wa Kitanzania/Africa

Sio utamaduni wa wanaume wa Kitanzania/Africa

kuna wengine hawana mawasiliano kabisa utakuta mme karudi kutoka job anakuta kikaratasi kimeandikwa unga, sukari, majani ya chai na mafuta ya kula yameisha halafu nae anachukua kalamu anajibu sina hela no kuongea. Ila tubadilike kidogo tuzungumze yanayotuhusu na wenzi wetu

kuna familia utakuta wanaenda kanisa moja ila kila mtu anatoka kivyake na hata kurudi hivyo hivyo utadhani wamelazimishwa kukaa pamoja

Mbona kwenye uchumba hayo yote yaliyoorodheshwa yanafanyika ila kwenye ndoa tunasema sio tamaduni zetu tubadilike (pamoja na mie) dunia sasa ni utandawazi na ni kijiji tuige mazuri kutoka kwa wenzetu maana kila siku tunashindia mitamthilia lakini hata atuigi yale mazuri kwenye mapenzi
Suala la haya kuwa mazuri au si mazuri ni subjective kaka Funza. Wewe unaweza kuona ni mazuri lakini mwingine akaona ni laana.
 
Du mzee perspective zako balaa ...............

Hapa ndiyo umenichosha kabisa..............................

Hahahaha mzee hapo umeona kaukweli ehee! kama mtu unaona aibu kumkumbatia mwenzi wako unamaanisha nini?
 
:becky::becky::becky::becky::becky: hii ipo sana hata pale unapo fukuzia akikuomba salio jero wewe unaongeza buku lakini ukisha mega tu hata akikutumia tafadhari nipigie njemba ipo kimyaaaaaaaaaaaa wanaume wa kibongo wengi ndo zao kipya kinyemi

Wewe Fidel wewe........duh
 
ila wabongo tuna matatizo nyumba ndogo inakupokea na mabusu tena hadharani unajifanya uoni noma ila mkeo aibu sijui mchawi wa mahusiano ya watz ni nani?

Wewe acha kujumuisha wabongo wote kwenye tabia zako mbofu
 
ila wabongo tuna matatizo nyumba ndogo inakupokea na mabusu tena hadharani unajifanya uoni noma ila mkeo aibu sijui mchawi wa mahusiano ya watz ni nani?

Kweli nyumba ndogo ukikutana nayo, mahaba kibao! wakati mamaa mkikutana baada ya kutoka kazini, huanza na mkwala kwa kwenda mbele. make anajua lazima hazipiti siku mbili anapata haki yake.
A%20S%208.gif
 
:becky::becky::becky::becky::becky: hii ipo sana hata pale unapo fukuzia akikuomba salio jero wewe unaongeza buku lakini ukisha mega tu hata akikutumia tafadhari nipigie njemba ipo kimyaaaaaaaaaaaa wanaume wa kibongo wengi ndo zao kipya kinyemi
Fidel80 kumbuka jioni kuna maombi!!!! usikose:focus:
 
Hahahaha mzee hapo umeona kaukweli ehee! kama mtu unaona aibu kumkumbatia mwenzi wako unamaanisha nini?

Anamshika mkono au kumbatia wakiwa wawili tu chumbani wamefunga mlango na taa imezimwaaaaa....
 
1. Kumfungulia mwanamke garia apandapo au kushuka na kumfunga mkanda kabla ya gari
kuondoka

2. Kumshika mkono kwenye hadhara wakati wa kutembea e.g evening walk au kwenye
ocassion kubwa inatokeaga siku ya harusi tu.

3. Kumsifia pale panopostahili e.g nguo imekupendeza kweli....u look excellent on those
clothes. U had wonderful presentation I rly like it.....

4. Kumpigia simu muda wa mchana kumtakia mlo mwema na kujua siku yake inakwendaje.
Au kumwachia ki-note asubuhi kwenye fridge au nyuma ya mlango chenye ujumbe wa
mapenzi e.g u luk so peaceful, beautiful and at peace when u sleep

5. Kumpa au kumnunulia maua katika vipindi tofauti

.........Hivyo vyote nafanyiwa hadi kufunguliwa mlango na mie kutangulia kuingia ndani endapo tupo pamoja.
Huu utamaduni siku hizi upo sana kwa wanaume wa Kitanzania/africa. Labda wanaume wa kizamani ndio walikuwa hawafanyii wake zao haya mambo.
 
"The great pleasure in life is doing what people say you cannot do."🙂
 
mi ata akinibeba mgongoni poa tu ........bt dah kuna kitu kinanisumbua jaman sjui niaje ushamba au ni vp
.nawaza sana sIKU YA NDOA PALE AMBAPO SHUGHULI IMEISHA NA NYIE MWAONDOKA ...........maharusi sasa wanaondoka wanakwenda kujipumzisha..........dah NAONA AIBU CZ WAZAZI ,KAKA ZANGU WOTE WATAJUA THAT ANNA LEO ANAENDA KUCHEZEA DUDU.....yan jaman sjui nivip lakin naiwaza sana iyo siku nikija kuolewa itakuwaje ON THAT PARTICULAR NYT...... mmh mh cz sipendi wajue km siku gan muda exactly nina do!!!!
msinicheke wala kunisimanga cz ths is wat i fil.
 
1. Kumfungulia mwanamke garia apandapo au kushuka na kumfunga mkanda kabla ya gari
kuondoka

2. Kumshika mkono kwenye hadhara wakati wa kutembea e.g evening walk au kwenye
ocassion kubwa inatokeaga siku ya harusi tu.

3. Kumsifia pale panopostahili e.g nguo imekupendeza kweli....u look excellent on those
clothes. U had wonderful presentation I rly like it.....

4. Kumpigia simu muda wa mchana kumtakia mlo mwema na kujua siku yake inakwendaje.
Au kumwachia ki-note asubuhi kwenye fridge au nyuma ya mlango chenye ujumbe wa
mapenzi e.g u luk so peaceful, beautiful and at peace when u sleep

5. Kumpa au kumnunulia maua katika vipindi tofauti

1. Kwanza gari lenyewe inabidi ulinunua kabla ya kumfungulia mlango mkeo. Angalia Tanzania ni asilimia ngapi ya watanzania wana magari, hata Dar es slaam amapo ni mji mkuu ni asilimia ndogo tu ya wanaume walioa wenye magari hayo. tunaweza kuanza kujua kama utamaduni huo pale tunapoweza kununua magari au pale tunapokuwa na magari ya kutosha

2. Do we have places for evening walk? mimi nakaa manzese aambako kwa mara ya mwisho mtaa ulikuwepo wakati wa mkoloni sasa hivi ni mitaro inayonuka, vibaka, kila siku kuhangaika asuuhi mpaka jioni, where will i get this time for evening walk? why don't i just rest at home?

3. Wake zetu tunawasifia sana, na kumsifia mwanamke si lazima useme unaweza kumsifia kwa wengine au hata kwa vitendo. Mbona huwa tunawasifia sana kuwa wanawake wetu ni hodari zaidi kitandani kuliko wengine. Hata hivyo nguo zetu kama mabaibui au vitenge vyenyewe ni sifa tayari they do not need more sifa.

4. Nyumbani kwangu sina simu, sina uwezo wa kulipia gharama za simu na sina uwezo wa kununua simu ya mkononi. Mke wangu naye ni hivyo hivyo sasa hatuwezi kufikiri hata kupigiana simu kabla ya kununua hizo simu. Kazini kwangu au kazi yangu haihitaji simu, how can i call?

5 How can i buy her flowers wakati kuna bustani kubwa sana ya maua mazuri kuliko ujinga huu wa vimaua vidogo, mke wangu hapendi maua anapenda vitu vingine kabisa, she is not a baby girl she does not like that kind of things. Wakati mwingine ni kama kupoteza pesa kutumia shiling 5000 kununua maua wakati sijui kesho ntakula nini au wakati hata dawa ya mtu sina, leave alobe nauli ya kwenda msikitini.

Ningependa nianze kwanza kujiimarisha kiuchumi haya mambo ni secondary sana, na ni ziada sana. Ni sawa na kumpelekea mgonjwa aliyehospitali kadi ya well wishes ya shilingi elfu 50,000 wakati hata hela ya kitanda hana. Hatuwezi kuiga mambo meingine bila kuangalia hali yetu halisi kimaisha.
 
mi ata akinibeba mgongoni poa tu ........bt dah kuna kitu kinanisumbua jaman sjui niaje ushamba au ni vp
.nawaza sana siku ya ndoa pale ambapo shughuli imeisha na nyie mwaondoka ...........maharusi sasa wanaondoka wanakwenda kujipumzisha..........dah naona aibu cz wazazi ,kaka zangu wote watajua that anna leo anaenda kuchezea dudu.....yan jaman sjui nivip lakin naiwaza sana iyo siku nikija kuolewa itakuwaje on that particular nyt...... Mmh mh cz sipendi wajue km siku gan muda exactly nina do!!!!
Msinicheke wala kunisimanga cz ths is wat i fil.
umenichekesha sana rose kwani wanavyofuraia na kushangilia siku ile ya harusi si kwa sababu wanajua mwanao kapata dudu lake la halali?
 
maharusi sasa wanaondoka wanakwenda kujipumzisha..........dah NAONA AIBU CZ WAZAZI ,KAKA ZANGU WOTE WATAJUA THAT ANNA LEO ANAENDA KUCHEZEA DUDU.....yan jaman sjui nivip lakin naiwaza sana iyo siku nikija kuolewa itakuwaje ON THAT PARTICULAR NYT...... mmh mh cz sipendi wajue km siku gan muda exactly nina do!!!!
msinicheke wala kunisimanga cz ths is wat i fil.
What if masika?? :smile-big:
 
mi ata akinibeba mgongoni poa tu ........bt dah kuna kitu kinanisumbua jaman sjui niaje ushamba au ni vp
.nawaza sana sIKU YA NDOA PALE AMBAPO SHUGHULI IMEISHA NA NYIE MWAONDOKA ...........maharusi sasa wanaondoka wanakwenda kujipumzisha..........dah NAONA AIBU CZ WAZAZI ,KAKA ZANGU WOTE WATAJUA THAT ANNA LEO ANAENDA KUCHEZEA DUDU.....yan jaman sjui nivip lakin naiwaza sana iyo siku nikija kuolewa itakuwaje ON THAT PARTICULAR NYT...... mmh mh cz sipendi wajue km siku gan muda exactly nina do!!!!
msinicheke wala kunisimanga cz ths is wat i fil.

Na wewe kumbe bado mtoto hivyo. Sasa ukijaolewa si ndio utakuwa unakaa mbali kabisa na mmeo ili watu wasijue kama uwa mna-do pale ukishaolewa inabidi tu ukubali kulala bila kufuli na hilo liko wazi kwa wote

Umenikumbusha jamaa mmoja alikuwa anawachunga sana dada zake sasa kuna siku dada yake akawa anaolewa ule muda wanaondoka kwenda honey moon jamaa alikuwa kalewa chakari akasema "mmmh jamaa linaenda kum-do sister angu aaagh" yaani ilionekana jamaa anaumia sana moyoni
 
Ha ha ha ha ha ha :becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:

Na wewe kumbe bado mtoto hivyo. Sasa ukijaolewa si ndio utakuwa unakaa mbali kabisa na mmeo ili watu wasijue kama uwa mna-do pale ukishaolewa inabidi tu ukubali kulala bila kufuli na hilo liko wazi kwa wote

Umenikumbusha jamaa mmoja alikuwa anawachunga sana dada zake sasa kuna siku dada yake akawa anaolewa ule muda wanaondoka kwenda honey moon jamaa alikuwa kalewa chakari akasema "mmmh jamaa linaenda kum-do sister angu aaagh" yaani ilionekana jamaa anaumia sana moyoni

Kiongozi uchokozi huu sasa!!

:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:
 
.........Hivyo vyote nafanyiwa hadi kufunguliwa mlango na mie kutangulia kuingia ndani endapo tupo pamoja.
Huu utamaduni siku hizi upo sana kwa wanaume wa Kitanzania/africa. Labda wanaume wa kizamani ndio walikuwa hawafanyii wake zao haya mambo.

Sikiliza wewe mtoto.....kama huwa unafunguliwa mlango wa gari, kupigiwa simu etc etc kuna mambo mawili......either wewe ni kimada wa huyo jamaa au ndoa yenu ni changa sana....yaani ndo umeolewa na huyo mshikaji......! vinginevyo kwa bongo hii ni nadra sana kupata huduma hizo hapo juu.....!
 
Back
Top Bottom