Unguja moja, uongo?Niliwahi kupigwa stiki na wanakijiji baada ya kuruka ukuta kwenda kufuatilia mrembo mmoja hivi mtoto wa mwenye kiti wa kijiji.
Ila walichonisaidia ni kutonisema shuleni maana waliridhika na mimi kuwaomba radhi.
Mrembo alinipenda zaidi maan aliniona nilipigwa nikipambania penzi lake ila tulikuja achana baada kuzidiwq kete na mtoto wa mbunge mmoja hivi nafiikir ndio alimuonganisha nisha akapata konexsheni za uimbanji
Leo mrembo huyo ni msanii mkubwa hapa Tanzania
Namba 1: pole mkuu maana ulifanyiwa harrasment1. Nilipokuwa la 7 kuna mwalimu mgeni akawa ananishika tunyonyo weeh nilimshtaki kwa Mzazi, sijui alisimamishwa or kufukuzwa, sikumuona tena na hapo ni baada ya kikao ofisini na wazazi kutishia kulipeleka swala police..
2. Nilikuwa na Marafiki wengi( now days mnasema machawa) wa kunibebe Bag ya madaftari kwasababu nilikuwa na provide sana Visheti, vibama, barafu na vingine nimesahau😄
those days bwana
🤣🤣Form 5 hiyo kuna mwanangu alikua bishoo na ana mademu sana O Level kule ila hana hela maisha magumu hao mademu alikua anawapata kwa sababu muongo muongo sana (saivi unaweza kukuta amekuwa winga hapo Kariakoo), jamaa kikawaida alikua hana hela kwahyo masuala ya mihogo, mboga mboga na sukari alikuwa ananitegemea mimi. Sasa siku 1 nikashangaa jamaa kaninunulia mihogo na bagia kama zote siku huyo sio kinyonge hatujapuliza... bwanaa kumbe mshkaji ameiba suruali ya mtu bweni jingine na ina hela, alichoharibu ile suruali akaivaa beach wenyewe wakamkuta, familia alipigwa viboko vinne vinne na kila member wa bweni
Aaha usumbufu ulikuwa wa kawaida kwa malimu wenyeji ila wanafunzi na walimu wa Field ndio dooh bt tukavuka salamaWalimu hawakusumbua🤣