Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
-
- #21
Wajibu wangu ni kumfikisha ng'ombe mtoni, asipokunywa maji iyo sio shida yangu.Hao unaowafundisha wenyewe hata hawakusikilizi, ukitaka wakusikilize hayo mahubiri yako wakate kichwa cha chini… otherwise unapoteza energy bure.!!
Does t mean kuonyesha yuko inaenda sambamba na huyo Me, kuona alimpa favor mwanamke kuwa naye.usitafute usawa na mwanamke onyesha kua uko juu wewe mlipe muda wake
Muelekeo wa mahusiano yako utatokana na uamuzi wako pale mwanzo kabisa unapochagua mwanamke wa kuwa nae, ukiamua kuwa na parasite woman ujue kuna consequences zake.Km hapa mkuu nipo ntapigaa nisepee baada ya kufikaa mshindo.
Ila hamna Cha Bure ujue mkuu cku hz imekuwa huduma km kununua luku ya umeme
True comradeIwe kiuchumi, kitabia au kimaadili sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke, huo ni wajibu wa wazazi wake. Kama unataka mke msomi, mwenye tabia nzuri au anaejiweza kiuchumi, basi tafuta mwanamke ambae tayari wazazi wameshamuwezesha kuwa na ivyo vigezo.
Mwanaume pambana tafuta hela tengeneza furaha yako kwenye mambo mengine, kama unapenda bata na masela kila wikiendi, wekeza furaha yako uko.
Wakati tunaoishi ukileta mapenzi ya Shakur Khan utakufa kwa magonjwa ya moyo, hawa wenzetu hawajui wanataka nini tena.
Kama utaendelea kuona mwanamke ndio furaha yako na ni wajibu wako kumbadilisha au kumuwezesha basi nakuonea huruma sana.
Ana maadili mabovu, ana tabia mbaya achana nae, wewe piga sepa. Hafanyi hayo kwa bahati mbaya, anaelewa na anajua madhara yake.
Hajasoma, yupo broke, wewe piga sepa. Acha kihele hele cha kujifanya shujaa kwenye maisha yake. Mchumba hasomeshwi, mchumba hafunguliwi biashara, it will end in tears my brother.
It always ends unfairly for a nice guy.
I love you, i love my brother.
Kuwaelewesha simp ni ngumu sanaDoes t mean kuonyesha yuko inaenda sambamba na huyo Me, kuona alimpa favor mwanamke kuwa naye.
Does t mean kuonyesha yuko inaenda sambamba na huyo Me, kuona alimpa favor mwanamke kuwa nayeusitafute usawa na mwanamke onyesha kua uko juu wewe mlipe muda wake
Wanawake wengi hatuna faida nao, zaidi ya sense ya huyu ni mwanamke wangu, zaidi hata hyo sio kweli ni vile tu it's your turn ku have hiyo 🐈🐈🐈.Kuwaelewesha simp ni ngumu sana
Lakini tusiache kuwagongelea misumali bila huruma, kama wanataka huruma waende kwa baba zao.Iwe kiuchumi, kitabia au kimaadili sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke, huo ni wajibu wa wazazi wake. Kama unataka mke msomi, mwenye tabia nzuri au anaejiweza kiuchumi, basi tafuta mwanamke ambae tayari wazazi wameshamuwezesha kuwa na ivyo vigezo.
Mwanaume pambana tafuta hela tengeneza furaha yako kwenye mambo mengine, kama unapenda bata na masela kila wikiendi, wekeza furaha yako uko.
Wakati tunaoishi ukileta mapenzi ya Shakur Khan utakufa kwa magonjwa ya moyo, hawa wenzetu hawajui wanataka nini tena.
Kama utaendelea kuona mwanamke ndio furaha yako na ni wajibu wako kumbadilisha au kumuwezesha basi nakuonea huruma sana.
Ana maadili mabovu, ana tabia mbaya achana nae, wewe piga sepa. Hafanyi hayo kwa bahati mbaya, anaelewa na anajua madhara yake.
Hajasoma, yupo broke, wewe piga sepa. Acha kihele hele cha kujifanya shujaa kwenye maisha yake. Mchumba hasomeshwi, mchumba hafunguliwi biashara, it will end in tears my brother.
It always ends unfairly for a nice guy.
I love you, i love my brother.
Iyo muhimu, piga brutal game kama mandingo, hata akiomba maji achana nae we mpelekee moto. Bora lawama kuliko fedhea.Lakini tusiache kuwagongelea misumali bila huruma, kama wanataka huruma waende kwa baba zao.
Mwanaume unaingiliaje mambo ya wanawakeIwe kiuchumi, kitabia au kimaadili sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke, huo ni wajibu wa wazazi wake. Kama unataka mke msomi, mwenye tabia nzuri au anaejiweza kiuchumi, basi tafuta mwanamke ambae tayari wazazi wameshamuwezesha kuwa na ivyo vigezo.
Mwanaume pambana tafuta hela tengeneza furaha yako kwenye mambo mengine, kama unapenda bata na masela kila wikiendi, wekeza furaha yako uko.
Wakati tunaoishi ukileta mapenzi ya Shakur Khan utakufa kwa magonjwa ya moyo, hawa wenzetu hawajui wanataka nini tena.
Kama utaendelea kuona mwanamke ndio furaha yako na ni wajibu wako kumbadilisha au kumuwezesha basi nakuonea huruma sana.
Ana maadili mabovu, ana tabia mbaya achana nae, wewe piga sepa. Hafanyi hayo kwa bahati mbaya, anaelewa na anajua madhara yake.
Hajasoma, yupo broke, wewe piga sepa. Acha kihele hele cha kujifanya shujaa kwenye maisha yake. Mchumba hasomeshwi, mchumba hafunguliwi biashara, it will end in tears my brother.
It always ends unfairly for a nice guy.
I love you, i love my brother.
Umesoma post na umeelewa kilichoandikwa?Mwanaume unaingiliaje mambo ya wanawake
Hoja imepita bila kupingwaIwe kiuchumi, kitabia au kimaadili sio wajibu wako kumbadilisha mwanamke, huo ni wajibu wa wazazi wake. Kama unataka mke msomi, mwenye tabia nzuri au anaejiweza kiuchumi, basi tafuta mwanamke ambae tayari wazazi wameshamuwezesha kuwa na ivyo vigezo.
Mwanaume pambana tafuta hela tengeneza furaha yako kwenye mambo mengine, kama unapenda bata na masela kila wikiendi, wekeza furaha yako uko.
Wakati tunaoishi ukileta mapenzi ya Shakur Khan utakufa kwa magonjwa ya moyo, hawa wenzetu hawajui wanataka nini tena.
Kama utaendelea kuona mwanamke ndio furaha yako na ni wajibu wako kumbadilisha au kumuwezesha basi nakuonea huruma sana.
Ana maadili mabovu, ana tabia mbaya achana nae, wewe piga sepa. Hafanyi hayo kwa bahati mbaya, anaelewa na anajua madhara yake.
Hajasoma, yupo broke, wewe piga sepa. Acha kihele hele cha kujifanya shujaa kwenye maisha yake. Mchumba hasomeshwi, mchumba hafunguliwi biashara, it will end in tears my brother.
It always ends unfairly for a nice guy.
I love you, i love my brother.
Usitusemee kwan ña wewe ni broo??Hao unaowafundisha wenyewe hata hawakusikilizi, ukitaka wakusikilize hayo mahubiri yako wakate kichwa cha chini… otherwise unapoteza energy bure.!!
Hujawahi koseaga mwambaMuelekeo wa mahusiano yako utatokana na uamuzi wako pale mwanzo kabisa unapochagua mwanamke wa kuwa nae, ukiamua kuwa na parasite woman ujue kuna consequences zake.
Hiyo imemuuma kwaa kweliiiUsitusemee kwan ña wewe ni broo??
Hiyo imemuuma kwaa kweliii
HahahaIyo muhimu, piga brutal game kama mandingo, hata akiomba maji achana nae we mpelekee moto. Bora lawama kuliko fedhea.
Mtajiju masimpUsitusemee kwan ña wewe ni broo??
Anatetea biashara yake uyoUsitusemee kwan ña wewe ni broo??