usitafute usawa na mwanamke onyesha kua uko juu wewe mlipe muda wake
Does t mean kuonyesha yuko inaenda sambamba na huyo Me, kuona alimpa favor mwanamke kuwa naye
Kuwaelewesha simp ni ngumu sana
Wanawake wengi hatuna faida nao, zaidi ya sense ya huyu ni mwanamke wangu, zaidi hata hyo sio kweli ni vile tu it's your turn ku have hiyo 🐈🐈🐈.
Kile wanachosema eti! Wajibu wa mwanaume sijui kiongozi, awe ana provide blah blah na wao wajibu ni ku support,sijui nini na nini! Hakipo hakuna hata moja wapo Kuishi kimbinu 🤣🤣, inawezekanaje Problem creator akawa ndie mleta amani?
Check ! Bar huko, wamejaa wanaume wengi wanakimbia vita na kelele za home ( Harafu wao wanaona wanaifanya kazi ya mke 🤣).
Unajua wanaume wenye purpose, wanaoshinda challenge zao wenyewe wanawake hujipeleka kwao kirahisi kabisa? Na husikiii hao wanaume wakiimba hizi nyimbo et, mfanyie mwanamke au kile ili akue wako.
Wanawake sio watumwa ni kama Dragons, wanaamua wao where to stay, who to serve and obey na nani wa align naye. If so, Efforts zako ni negligible, haina impact, huwezi ku win moyo wa binadamu anaamua yeye! Ndo maana hata MUNGU mwenyewe anasema andalio la moyo ni la mwanadamu, bali jawabu la Ulimi ni la MUNGU. Jesus was nice, powerful na bado binadamu wakampotezea hata leo wanampinga.
Point to note ni: Huyo mwanamke umekuta alishakuwa na wanaume kadhaaa, na wakamuacha, unadhani hao wote wanaudhaifu wewe ndo Super na unique to keep her?? Try, wew sio wa kwanza ,wala wa mwisho it's just your turn. Wanaishi kwa hisia zao na maamuz yao yapo kwa hisia, siku ikitokea hisia zikisema Ex wake aliyekuw ana mcheat was real man kuliko wewe ,NICE SYNDROME DUDE 🤣 jipange! Muulize Kaka.
Fata purpose yako.