Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Nilitoa uzi kuhusu wikipedia kwa watu kama ni raisi utajua wasifu wake.
Ila wikipedia inamtambua kipindi kafa magufuri kushika nafasi tu na chini wakaandika machafuko yote ila wadau wengine wakajitokeza kusema wikipedia unaweza kuandika hata wewe.
Katika tovuti kubwa ukitafuta habari za maraisi na uchuguzi hawa wezi kuthibitisha kuwa ni raisi aliyechaguliwa 2025.