Pia Rais wa kwanza kuua maelfu ya raia wake kisa tu walitaka kumpindua.Akili kama ya mleta uzi ni ya kuombea faraja ,Ina mateso mengi. Yaani Rais wa nchi atambuliwe na mitandao ili iweje? Ukweli huu mchungu utasemwa na vizazi vyote kuwa Dkt. Samia alikuwa Rais wa SITA wa JMT kutoka 19.03.2021 mpaka 2030
Akili kama ya mleta uzi ni ya kuombea faraja ,Ina mateso mengi. Yaani Rais wa nchi atambuliwe na mitandao ili iweje? Ukweli huu mchungu utasemwa na vizazi vyote kuwa Dkt. Samia alikuwa Rais wa SITA wa JMT kutoka 19.03.2021 mpaka 2030
Nilitoa uzi kuhusu wikipedia kwa watu kama ni raisi utajua wasifu wake.
Ila wikipedia inamtambua kipindi kafa magufuri kushika nafasi tu na chini wakaandika machafuko yote ila wadau wengine wakajitokeza kusema wikipedia unaweza kuandika hata wewe.
Katika tovuti kubwa ukitafuta habari za maraisi na uchuguzi hawa wezi kuthibitisha kuwa ni raisi aliyechaguliwa 2025.