Sio Yanga tu Azam nao wanakuja, hiki kikombe Karia na wenzio lazima mkinywe mkitapike...

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Muda si mrefu

Azam nao wamejiandaa kutopeleka timu yao kuonyesha mpira 15 jun

Mpaka walipwe hasara walizotumia tar 8

Sasa bodi ya ligi a Karia wenu

Nendeni mkajipange na hawa wapangieni ratiba kama mlivyojichanganya

Kazi iendeleeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…