Mzee wa nipe mkono nipe mkonoMzee wa kuhairisha matukio
Kaanza Konde Mgahawa sijui uliishia wapi, kwaka juzi baada ya kuzindua Afro East Mlimani City, akasema mwezi wa tano 2020 atafanya show taifa siku ikafika kimya, akaja tena na idea ya kufanya show siku tatu mfululizo mwezi wa 11 ,2020 huku akipewa support na EFM siku ikafika kimya, akaja tena Konde in da club mikoa 19 akafanya show moja baadae akadai anaumwa daktari kamshauri aupumzike.
Na hii show yake aliyo iandaa AFRO Carnival Tabata shule 3rd March 2022 sioni dalili ya kufanyika mwisho wa siku atapiga kimya.
Akadai vifaa alivokua amenunua ndo hvo
Labda kakosa wadhamini.Mzee wa kuahirisha matukio
Kaanza Konde Mgahawa sijui uliishia wapi, mwaka juzi baada ya kuzindua Afro East Mlimani City, akasema mwezi wa tano 2020 atafanya show taifa siku ikafika kimya, akaja tena na idea ya kufanya show siku tatu mfululizo mwezi wa 11, 2020 huku akipewa support na EFM siku ikafika kimya, akaja tena Konde in da club mikoa 19 akafanya show moja baadae akadai anaumwa daktari kamshauri apumzike.
Na hii show yake aliyo iandaa AFRO Carnival Tabata shule 3rd March 2022 sioni dalili ya kufanyika mwisho wa siku atapiga kimya.
Mtoa mada na wewe hanna tofautiUmebakiza kidogo uanze kuingia mwezini
Maana sio kwa roho hii ya korosho aseeh
AmechundaMzee wa kuahirisha matukio

🤣🤣🤣🤣🤣