Sioni Dalili ya show ya "Afroeast Carnival" ya Harmonize kufanyika

Mzee wa kuahirisha matukio

Kaanza Konde Mgahawa sijui uliishia wapi, mwaka juzi baada ya kuzindua Afro East Mlimani City, akasema mwezi wa tano 2020 atafanya show taifa siku ikafika kimya, akaja tena na idea ya kufanya show siku tatu mfululizo mwezi wa 11, 2020 huku akipewa support na EFM siku ikafika kimya, akaja tena Konde in da club mikoa 19 akafanya show moja baadae akadai anaumwa daktari kamshauri apumzike.

Na hii show yake aliyo iandaa AFRO Carnival Tabata shule 3rd March 2022 sioni dalili ya kufanyika mwisho wa siku atapiga kimya.
Maono, mipango utekelezaji na management ni vitu muhimu sana
 
Juzi nimepita pale Tabata shule nikielekea Kanisani, nikautizama ule uwanja na watu anaowaita kwenye show naona ni vitu viwili tofauti, manake pale nazani hawazidi watu elfu 3 na nikitizama list ya wasanii naona show ni kubwa.Halafu na jiuliza wazamiaji atawa zuia vipi manake huwanja hauka fensi yoyote ile.
 
Mzee wa kuahirisha matukio

Kaanza Konde Mgahawa sijui uliishia wapi, mwaka juzi baada ya kuzindua Afro East Mlimani City, akasema mwezi wa tano 2020 atafanya show taifa siku ikafika kimya, akaja tena na idea ya kufanya show siku tatu mfululizo mwezi wa 11, 2020 huku akipewa support na EFM siku ikafika kimya, akaja tena Konde in da club mikoa 19 akafanya show moja baadae akadai anaumwa daktari kamshauri apumzike.

Na hii show yake aliyo iandaa AFRO Carnival Tabata shule 3rd March 2022 sioni dalili ya kufanyika mwisho wa siku atapiga kimya.
Koh koh koh
Yao yao
 
Sijajua kuna nini kwa Konde ila naona raia dizaini kama wamemchoka na kuanza kumtema flani hivi. Taarifa rasmi kutoka kwenye page yake inasema tamasha litakuwa ni la siku 2 (kutoka zile za mwanzo ambazo zilikuwa siku tatu) ambapo ni ijumaa na jmosi pekee. Lets wait and see
 
Mwenzake alipojiita Simba na yeye akajiita Tembo.
Mwenzake alipojiita Dangote na yeye akajiita Bakhresa.
Mwenzake alipofanya ngoma la bolingo la Waaaaaaaah na Kofi, nae akaja na goma la bolingo na Awilo

Kiufupi dogo hana anachokisimamia,ni wa kuigaiga tuuuuuuuuuu
Kipaji anacho ila atachoka mapema sana kwa kukosa ubunifu.
 
Ila nchi hii Kuna vijana wa ovyo sana aisee.

Wengi wamegeuka MISUKULE, WATABIRI, watu wa ROHO Mbaya na CHUKI kaliiii.

Halafu kibaya zaidi Ni kwa vitu bavyo hata hakuna MANUFAA navyo.

Yaani muda mwingi Ni CHUKI na UMSUKULE.

Aisee, Hiki kizazi Cha 1995 Ni BURE kabisa.

Ngoja wajanja waendelee kupiga PESA.
 
Tembo jumamosi aliiijaza Cask na Rock City mall kwa kiingilio cha 30K kwa 10k [emoji91][emoji91]
 
Mzee wa kuahirisha matukio

Kaanza Konde Mgahawa sijui uliishia wapi, mwaka juzi baada ya kuzindua Afro East Mlimani City, akasema mwezi wa tano 2020 atafanya show taifa siku ikafika kimya, akaja tena na idea ya kufanya show siku tatu mfululizo mwezi wa 11, 2020 huku akipewa support na EFM siku ikafika kimya, akaja tena Konde in da club mikoa 19 akafanya show moja baadae akadai anaumwa daktari kamshauri apumzike.

Na hii show yake aliyo iandaa AFRO Carnival Tabata shule 3rd March 2022 sioni dalili ya kufanyika mwisho wa siku atapiga kimya.
Satan wishez sasa akihairisha wew utafaidika nini ??
 
Nimeshafika Cask ni kama useme Zuchu ameijaza Juliana pub au Kitambaa cheupe au Kidimbwi. Pale kunajaa bila kuwa na msanii yoyote na hata kina Barnaba wanafanya show na kunajaza sana
Kumbe unaenda viwanja , nipitie sku moja bas
 
Back
Top Bottom