Sioni Dalili ya show ya "Afroeast Carnival" ya Harmonize kufanyika

Feedback ???

Ila wabongo jamani, sijui Ni Nini kimewakuta. Inasikitisha sana
 
Jamaa anapoteza mashabiki kwasababu ya sifa zake zakijinga,kiburi naona kashasahau alipotoka,afu anapenda kuiga sana yan hana ubunifu hata chembe album yake nzuri ni ile aliyokua Wasafi tu kashapotea mazima sasa sijui anaimba nini havielewek
 
Hapa inaongelewa Show imefanyika au haikufanyika?
 
Jamaa anapoteza mashabiki kwasababu ya sifa zake zakijinga,kiburi naona kashasahau alipotoka,afu anapenda kuiga sana yan hana ubunifu hata chembe album yake nzuri ni ile aliyokua Wasafi tu kashapotea mazima sasa sijui anaimba nini havielewek
akili za kijinga kwahiyo album mbovu kisa hayupo WCB?
 
Jamaa anapoteza mashabiki kwasababu ya sifa zake zakijinga,kiburi naona kashasahau alipotoka,afu anapenda kuiga sana yan hana ubunifu hata chembe album yake nzuri ni ile aliyokua Wasafi tu kashapotea mazima sasa sijui anaimba nini havielewek
ndugu una chuki sana.
 
Show imefanyika watu nyimi mi ndio naamka siku ya pili sijalala,tatizo uke uwanja una vumbi na parking ndogo,next time ailete tabata liwiti opposite na kitambaa cheupe,uwanja mkubwa una nyasi na parking ya kutosha
Kwa summary palinoga? Na leo ipo?
 
Palinoga sna leo nasikia hakuna
Nimeona YouTube video ya Balaa MC wa Singeli ana wimbo ana watetea bodaboda aisee wanachota michanga wanamwaga juu, hahaa pale vumbi lile hapana aisee. Lazima uvae mask.

Angeomba eneo la wazi lenye nyasi.
 
Show imefanyika watu nyimi mi ndio naamka siku ya pili sijalala,tatizo uke uwanja una vumbi na parking ndogo,next time ailete tabata liwiti opposite na kitambaa cheupe,uwanja mkubwa una nyasi na parking ya kutosha
Ushauri mzuri Sana huu
 
Nimeona YouTube video ya Balaa MC wa Singeli ana wimbo ana watetea bodaboda aisee wanachota michanga wanamwaga juu, hahaa pale vumbi lile hapana aisee. Lazima uvae mask.

Angeomba eneo la wazi lenye nyasi.
Unajua wasela wa buguruni na vungunguti wanavuka mto msimbazi kwa miguu tu wameshafika eneo la tukio
 
Show imefanyika watu nyimi mi ndio naamka siku ya pili sijalala,tatizo uke uwanja una vumbi na parking ndogo,next time ailete tabata liwiti opposite na kitambaa cheupe,uwanja mkubwa una nyasi na parking ya kutosha
Yaah Tabata Liwiti pakubwa ila sometimes Tanesco wanawekaga mistimu yao.
 
Jamaa anapoteza mashabiki kwasababu ya sifa zake zakijinga,kiburi naona kashasahau alipotoka,afu anapenda kuiga sana yan hana ubunifu hata chembe album yake nzuri ni ile aliyokua Wasafi tu kashapotea mazima sasa sijui anaimba nini havielewek
Kwani alipokua wasafi katoa album ??? We jama unatapakia ujuw unalo tapika
 
Back
Top Bottom