Sioni Dalili ya show ya "Afroeast Carnival" ya Harmonize kufanyika

Sioni Dalili ya show ya "Afroeast Carnival" ya Harmonize kufanyika

Labda asifanye hiyo show Tabata,Mimi nashangaa kwa nini anataka kufanya show sehemu ndogo kama hiyo! Pangetapika mapema sana hapo,Watu wa Tabata tu hawatoshi kwenye hicho Kiwanja,kama anataka kufanya show nzuri Tabata afanyie uwanja wa Sigara.
Hapo shuleni sio pa hadhi yake.

Huyu Dogo inabidi ajiamini zaidi atafanya Mziki mzuri sana. Asitumie nguvu nyingi kuwaimba maadui zake,Badala ya kufanya muziki yeye anataka kujifananisha Daimond!

Angefocus kutengeneza identity yake,vijembe vyake visivyoisha vinachosha kusikiliza.
 
Back
Top Bottom