Mzee wa kuahirisha matukio
Kaanza Konde Mgahawa sijui uliishia wapi, mwaka juzi baada ya kuzindua Afro East Mlimani City, akasema mwezi wa tano 2020 atafanya show taifa siku ikafika kimya, akaja tena na idea ya kufanya show siku tatu mfululizo mwezi wa 11, 2020 huku akipewa support na EFM siku ikafika kimya, akaja tena Konde in da club mikoa 19 akafanya show moja baadae akadai anaumwa daktari kamshauri apumzike.
Na hii show yake aliyo iandaa AFRO Carnival Tabata shule 3rd March 2022 sioni dalili ya kufanyika mwisho wa siku atapiga kimya.