Hakuna bendera itapepea nausu mlingotiBaada ya uapisho kinachofuata ni bendera kupepea nusu mlingoti
JidanganyeniKutakua na fujo katika vutuo vya kuligia kura na uchaguz kuharibika baadh ya maeneo
Usisahau mbeya,unapo ongelea mimoa migumu kisiasa usiiache mbeyaMaandamano yakifanyika kwenye miji mikuu tu kama dar, arusha na mwanza inatosha. Mikoa kama songea, kagera and the likes haina nguvu ya kutetemesha watawala
Watu wana mor na hali nadhan umeona kimara ruvuma moro mwanza wameanza kutuma salamuJidanganyeni