Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Sasa je.Unasema kweli?
Sasa itakuwaje?Sasa je.
Tumbo la chini liko ka mviringo flani afu limeenda mbele hivi kidogo lakini halijashuka. Tako mwenyewe najikubali, liko vizuri.
Sa iyo itakuwa kuchorana. Siwezi tuma picha humu. Afu mi mke mtu hata mume wangu alikuwaga humu sema siku hizi hapendeleagi tena mambo ya JF ni kama ameachana nayo hata simwonagi akiyasoma tena.Hebu tuone kama hutojali
kiaje?Sasa itakuwaje?
Vizuri kuna wenziokiaje?
Sijakuelewa una maana?Vizuri kuna wenzio
Namaanisha vizuri kula na wenzioSijakuelewa una maana?
Mawazo yakanijia kwamba ukute na Joanah analoKwani mkuu mwanaume mwenye six pack anazitumia kitandani?ni mvuto tu hata wa huko chumbani
Huwezi kufananisha mwenye kalio na asiye nalo katika kuhamasisha/kutamanisha
Huwezi kufananisha mwenye six pack na mwenye kitambi katika kutamanisha
Japo tunashukuru kwa faraja yako kwa wasio/tusio nayo ila tako lina amsha amsha zake katika hizo mambo
Zinakuwaga na bumunda lililotuna halafu hapa juu kinenani kuna kitu kigumu kama fupa fulani hivi na zinakuwa na kina kirefu.Flat screen zina utamu wake [emoji4][emoji4]
Picha ya mnato tafadhaliWatu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo.
Ukweli ni kwamba hamna faida yoyote ya kalio kubwa wakati wa kufanya mapenzi, mwenye mwanamke mwenye kalio kubwa na yule mwenye kalio dogo ,wote wakilala chali kitandani hutaona tofauti yoyote wakati wa kula papuchi.
Hivyo wanawake wenye makalio makubwa mjue ni ya kulingishia barabarani na siyo kitandani.
Kitandani wanawake wote ni sawa.
Hiyo ni ajali kazini mkuu, na sio sababu yakalio hata mwenye flat anaweza kuumwa tu, pole yake sana.Haya mambo ya makalio yana mwisho, wakati mwingine mwisho mbaya.
Kuna jamaa hapa alianzisha uhusiano na mke wa staff mwenzake, wa shirika moja kubwa liko Tanzania nzima. Huyo mke na mume walikuwa ofisi za wilaya tofauti hapahapa Dar. Demu alikuwa na kalio la balaa! Jamaa kamrubuni demu hadi akaondoka kwa mume akaenda kumjengea mahali pengine akawa anajilia tartiibu! Muda si muda yule demu akapata kiharusi nafikiri ni yale maunene yake, sasa ni mwaka wa pili yuko kitandani hajitambui!
Namfikiria tu huyo aliyekimbilia kalio hadi akavunja ndoa ya mwenzie sasa hivi anajisikiaje. Kalio kweli alichukua, lakini sasa hivi hawezi kulifanyia chochote.
Ujumbe kwa wanaume: tusiendeshwe na makalio.
🤣 Amarok vs VitzKwa dereva mpya Toyota Premio na Toyota Crown Athlete zote ni gari sawa!..
Sisemi aliumwa kwa sababu ya kalio lake.Hiyo ni ajali kazini mkuu, na sio sababu yakalio hata mwenye flat anaweza kuumwa tu, pole yake sana.
Inauma sana mkuuSisemi aliumwa kwa sababu ya kalio lake.
Nasema tu kwamba yule aliyemshobokea kwa sababu ya kalio tu, amamvunjia hadi ndoa yake, kapata faida gani sasa? Mbona mwenye kalio yuko mahututi hana fahamu, na mwenye aliyekimbilia hilo kalio hata hamsaidii lolote, kamwacha anajitesekea na ugonjwa wake. Bora angemwacha akabaki kwa mumewe angalao huyo mumewe angekuwa anamuuguza. Kakimbilia kalio kaharibu maisha ya mwenye kalio halafu kasepa.
Narudia, tulieni, msikimbilie makalio mtaumbuka