Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

Sioni faida ya kalio kubwa kitandani

Wakati tupo shule za primary tulikua tukiambiwa tuchore picha ya mwanamke, tulikua tunachora kichwa, mikono na miguu kwa alama za fimbo/miti.

Ila tulipofika ukubwani (Sekondari na Vyuo) ndio tukajua umuhimu wa makalio.

Sasa wewe unaonekana bado upo kiakili shule ya vidudu. Inaonekana ulikimbia shule ya vidudu,
 
Hebu tuone kama hutojali
Sa iyo itakuwa kuchorana. Siwezi tuma picha humu. Afu mi mke mtu hata mume wangu alikuwaga humu sema siku hizi hapendeleagi tena mambo ya JF ni kama ameachana nayo hata simwonagi akiyasoma tena.
 
Kwani mkuu mwanaume mwenye six pack anazitumia kitandani?ni mvuto tu hata wa huko chumbani

Huwezi kufananisha mwenye kalio na asiye nalo katika kuhamasisha/kutamanisha
Huwezi kufananisha mwenye six pack na mwenye kitambi katika kutamanisha

Japo tunashukuru kwa faraja yako kwa wasio/tusio nayo ila tako lina amsha amsha zake katika hizo mambo
Mawazo yakanijia kwamba ukute na Joanah analo
 
Watu wengi wamekuwa wakisifia sana wanawake wenye makalio makubwa, hivyo kupelekea wanawake hao kujiamini sana mbele ya jamii kuliko wenzao wenye makalio madogo.

Ukweli ni kwamba hamna faida yoyote ya kalio kubwa wakati wa kufanya mapenzi, mwenye mwanamke mwenye kalio kubwa na yule mwenye kalio dogo ,wote wakilala chali kitandani hutaona tofauti yoyote wakati wa kula papuchi.

Hivyo wanawake wenye makalio makubwa mjue ni ya kulingishia barabarani na siyo kitandani.

Kitandani wanawake wote ni sawa.
Picha ya mnato tafadhali
 
Haya mambo ya makalio yana mwisho, wakati mwingine mwisho mbaya.
Kuna jamaa hapa alianzisha uhusiano na mke wa staff mwenzake, wa shirika moja kubwa liko Tanzania nzima. Huyo mke na mume walikuwa ofisi za wilaya tofauti hapahapa Dar. Demu alikuwa na kalio la balaa! Jamaa kamrubuni demu hadi akaondoka kwa mume akaenda kumjengea mahali pengine akawa anajilia tartiibu! Muda si muda yule demu akapata kiharusi nafikiri ni yale maunene yake, sasa ni mwaka wa pili yuko kitandani hajitambui!
Namfikiria tu huyo aliyekimbilia kalio hadi akavunja ndoa ya mwenzie sasa hivi anajisikiaje. Kalio kweli alichukua, lakini sasa hivi hawezi kulifanyia chochote.

Ujumbe kwa wanaume: tusiendeshwe na makalio.
 
Tako kubwa mi nawafaidi sana kuangalia.

Usiku kucha mi naangalia tako
Japo utendaji kazi wao wengine una Mashaka ila naishi nao tu.
 
Haya mambo ya makalio yana mwisho, wakati mwingine mwisho mbaya.
Kuna jamaa hapa alianzisha uhusiano na mke wa staff mwenzake, wa shirika moja kubwa liko Tanzania nzima. Huyo mke na mume walikuwa ofisi za wilaya tofauti hapahapa Dar. Demu alikuwa na kalio la balaa! Jamaa kamrubuni demu hadi akaondoka kwa mume akaenda kumjengea mahali pengine akawa anajilia tartiibu! Muda si muda yule demu akapata kiharusi nafikiri ni yale maunene yake, sasa ni mwaka wa pili yuko kitandani hajitambui!
Namfikiria tu huyo aliyekimbilia kalio hadi akavunja ndoa ya mwenzie sasa hivi anajisikiaje. Kalio kweli alichukua, lakini sasa hivi hawezi kulifanyia chochote.

Ujumbe kwa wanaume: tusiendeshwe na makalio.
Hiyo ni ajali kazini mkuu, na sio sababu yakalio hata mwenye flat anaweza kuumwa tu, pole yake sana.
 
Hiyo ni ajali kazini mkuu, na sio sababu yakalio hata mwenye flat anaweza kuumwa tu, pole yake sana.
Sisemi aliumwa kwa sababu ya kalio lake.
Nasema tu kwamba yule aliyemshobokea kwa sababu ya kalio tu, amamvunjia hadi ndoa yake, kapata faida gani sasa? Mbona mwenye kalio yuko mahututi hana fahamu, na mwenye aliyekimbilia hilo kalio hata hamsaidii lolote, kamwacha anajitesekea na ugonjwa wake. Bora angemwacha akabaki kwa mumewe angalao huyo mumewe angekuwa anamuuguza. Kakimbilia kalio kaharibu maisha ya mwenye kalio halafu kasepa.
Narudia, tulieni, msikimbilie makalio mtaumbuka
 
Inauma sana mkuu
 
Back
Top Bottom