Sioni haja ya kujenga uzio

Sioni haja ya kujenga uzio

Uko kwenye mstari sahihi.
Panda fence ya mchingoma for privacy.
Unajenga uzio kwa mil 25 kulinda wezi wasiibe TV ya laki saba!
Hii nayo ni akili. Nimeunga mkono.

Wizi wa tz ukiachana na wa majambazi ambao hata ukiweka mlinzi na bunduki wanaiba mars nyingi ni udokozi wa mboga, chumvi, redio, tv na simu.

Kama huna pess za kulambia asali unaingia gharama za njni?
 
I
Gari namiliki miaka kadhaa sasa haliwezi kuibiwa wala kuchezewa kisa sijaweka uzio mkuu, kuna aina za magari zinapendwa na wahalifu ila ukitaka kuwakomesha wewe nunua magari ya mjerumani au mmarekani hakuna atakaye sogelea ila jiandae kwa gharama kubwa ya vipuri.
Ist wanaiba?
 
mbona mnajifanya kama hamuwajui wabongo vizuri au nyie wote mnaishi masaki
usipokua na uzio wabongo watakunya uwanjani kwako
kama kuna miti ya matunda watoto wataponda mawe mpaka wavunje vioo
kama eneo ni kubwa watatengeneza njia kukatiza uwanjani
kama umeweka kabusatani wenye mbuzi na ng'ombe watageuza sehem ya malisho na mtashinda mnakimbizana
ukiacha viatu au ndala nje hutavikuta
ukishangaa hata mita ya maji itaibiwa
 
Huu ndio ukweli kabisa
 
Kwa usalama zaidi wa mali zako dhidi ya watu wabaya na wanyama na pia kuokoa ghrama .. jenga uzio block tu achana na urembo wa grill kiasi kisha funga fensi ya Umeme juu.. utakua na amani siku zote
 
Kuna uzio wa aina nyingi...
Unaweza tumia michongoma
Unaweza tumia Sing'eng'e
Unaweza weka tofali mfupi

Hapo zote ni gharama nafuu
 
Uko sawa mkuu mi naona fence liko kwa ajili ya security reason na sio vinginevyo
 
mbona mnajifanya kama hamuwajui wabongo vizuri au nyie wote mnaishi masaki
usipokua na uzio wabongo watakunya uwanjani kwako
kama kuna miti ya matunda watoto wataponda mawe mpaka wavunje vioo
kama eneo ni kubwa watatengeneza njia kukatiza uwanjani
kama umeweka kabusatani wenye mbuzi na ng'ombe watageuza sehem ya malisho na mtashinda mnakimbizana
ukiacha viatu au ndala nje hutavikuta
ukishangaa hata mita ya maji itaibiwa
Umeongea uhalisia kabisa.

Mimi nagombana na majirqni mbuzi kila siku
 
Back
Top Bottom