Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha hii ajabu sana, ila ndo akili zetu hizo.Uko kwenye mstari sahihi.
Panda fence ya mchingoma for privacy.
Unajenga uzio kwa mil 25 kulinda wezi wasiibe TV ya laki saba!
Uko sahihi mkuu,mi nashangaa watu wanaoamini kuwa uzio unazuia wezi,huku nilipo wenye uzio ndio wanaongoza kwa kuibiwa.Jenga uzio wa tofali tatu kutoka msingi, lengo ni kuzuia wapita njia kufanya eneo lako ni njia ya mkato.
Hii ni comment konki katika nimeipenda sana,ni hesabu za mbali sana only geniuses will understandUko kwenye mstari sahihi.
Panda fence ya mchingoma for privacy.
Unajenga uzio kwa mil 25 kulinda wezi wasiibe TV ya laki saba!
Hii nayo ni akili. Nimeunga mkono.Uko kwenye mstari sahihi.
Panda fence ya mchingoma for privacy.
Unajenga uzio kwa mil 25 kulinda wezi wasiibe TV ya laki saba!
Ist wanaiba?Gari namiliki miaka kadhaa sasa haliwezi kuibiwa wala kuchezewa kisa sijaweka uzio mkuu, kuna aina za magari zinapendwa na wahalifu ila ukitaka kuwakomesha wewe nunua magari ya mjerumani au mmarekani hakuna atakaye sogelea ila jiandae kwa gharama kubwa ya vipuri.
Yeah. Ona kwa wenzetu kunavyopendezaUzio ni kwa watu wabinafsi hongera kwa kuwa mjamaa[emoji1666]
Huu ndio ukweli kabisambona mnajifanya kama hamuwajui wabongo vizuri au nyie wote mnaishi masaki
usipokua na uzio wabongo watakunya uwanjani kwako
kama kuna miti ya matunda watoto wataponda mawe mpaka wavunje vioo
kama eneo ni kubwa watatengeneza njia kukatiza uwanjani
kama umeweka kabusatani wenye mbuzi na ng'ombe watageuza sehem ya malisho na mtashinda mnakimbizana
ukiacha viatu au ndala nje hutavikuta
ukishangaa hata mita ya maji itaibiwa
Umeongea uhalisia kabisa.mbona mnajifanya kama hamuwajui wabongo vizuri au nyie wote mnaishi masaki