Kwanza kabisa kama ulisoma boarding, ni kipi ulichomzidi mwenzako aliesoma day na mkafaulu wote mpaka mkahitimu chuo ?
Kwa hali ya sasa kuna maeneo yana shule kibao za day na zinafaulisha, Je tuendelee na ule utaratibu wa kupeleka watoto boarding kama zamani ?
Binafsi nakumbuka nilisoma boarding lakini yale ambayo wazazi walitaka kuniepusha niliyakuta ni zaidi huko boarding na hakuna mlezi wa uhakika wa kukupa dira na mbaya zaidi wanafunzi wana umri mdogo. kwa hali ya ilivyo sasa kiutandawazi tunasikia mambo mengi zaidi yakiendelea huko boarding, watoto wanaweza wakawa wanaleta matokeo mazuri lakini kimaadili wamemomonyoka.
Kwa mtazamo wangu naona mzazi / mlezi ukiwa eneo lenye shule za day nzuri na una muda wa kumfuatilia mtoto ni heri asome tu day, hata akipata division 2 inatosha, tuition zipo kibao, materials ni nyingi sana kama zamani,
Uzuri wa day ni kuweza kufuatilia muenendo wa mtoto kila siku akianza tabia za hovyo ni rahisi kugundua na kumrekebisha, chakula salama cha nyumbani hakuna kuwekewa mafuta ya taa, tuition, n.k.
Boarding inafaa zaidi kwa wale ambao wanaishi maeneo yasiyo na shule nzuri za day, wazazi / walezi wapo bize na shughuli zao mfano wanashinda dukani, n.k.