Sioni mchezaji wa Yanga SC anayeweza kupata namba Simba SC

Piga domo mkuu,lkn table ndio iko hivyo
 
Wanasema eti uwanjani shabiki ni mchezaji wa 12....nakuambia hivi, wachilia mbali kuwaweka benchi hata kuwafanya washangiliaji ni kupoteza muda na rasilimali sauti
Hahaaa hii kali
 
Maneno ya wakosaji. Kumbuka niko juu yako kipoint. Nina uwezo wa kukukojolea hapa nilipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]natania tu mjomba
Juzi tulikukojolea lakini saivi mikojo imekauka ushasahau?
 
Mkuu simba anashika mkia kwenye ligi gani hiyo nataka nijue?

Only in Tz watu wanaona fahari kupiga chenga zisizo na faida. Mliwafunga wengine sijui goli 5 lakini mjue mlitoka tu na points 3. Yanga wamefunga goli moja wakatoka na points 3. Nnani zaidi??

Kwaiyo mpaka leo hii bado hujapata kujua thamani ya magoli katika mechi?

Hujajua kwamba ushindi wa simba wa mwaka jana ulichangiwa na magoli mengi?

hujajua kwamba hata kama yanga akitikea kua sawa point na simba ila kama simba anamagoli mengi simba anapewa nafasi ya juu juliko yanga?, je ulikua unalijua hilo?
 
Hahaaa et no one is covering him

Why don't you say they failed to covering him

Nilicho kigundua watu wa yanga hawaamini ni kivipi simba ishinde tano bila wakati wao goli moja wanalipata kwa mbinde mpaka msaada wa refa

Umeenda mbali sana nadhani umefikilia kua simba kanunua mechi hahahaaa mbona hata wewe tulishawahi kukupiga tano kwani tulinunua?
 
Mkuu huku 'kwetu' hawa Yanga tunawahesabia mechi kadhaa tu, wanakata pumzi.

Na hapo ndipo litakapokua anguko lao kuu kwa wachezaji kutolipwa mishahara, mashabiki kushinikiza uchaguzi, viongozi kung'ang'ania madaraka n.k
Kumbe mnaombea tufeli kwa hivyo sio kwamba nyie mcheze vizuri?
Amini nawaambia wana simba, kama sio anguko la kiuchumi na uongozi la yanga msingenusa ubingwa ule wa mwaka jana,
Na kama msimu huu hakutakua na mgogoro au kukosa ela ya kuendesha club ubingwa unarudi jangwani
 
Hawa niwale wanafunzi wanaandika sana ila hakuna hoja zaidi ya zogo
 
Mkuu.. Migogoro katika kilabu chenu ishaisha kwani? Alafu, unataka kuniambia ile omba omba yenu, mmeisitisha?
 
Ila kwangu mimi naona hakuna mchezaji hata mmoja anaweza pata namba pale yanga, nasema hivii hayupooo, ukiuliza kwa nini majibu ni kwamba

Mechi 9 pointi 25,
Haijafungwa na timu yoyote,
Mechi 6 mfululizo bila kuruhusu bao,
Ktk mechi zote tisa ni moja tu wametoka bila goli,

Sasa kwa record hiyo ambayo simba yenu haina watamuweka nje nani kwa ubora huo?
 
Mwisho wa ligi, utaona nani zaidi.
 

Dah.. Mashabiki wa Yanga mna akili sana.. Kiukweli kwa uchambuzi wako uliomakini sana.. Hakuna mchezaji wa Simba anayeweza kukaa katika kikosi cha kwanza cha Yanga.
 
Dah.. Mashabiki wa Yanga mna akili sana.. Kiukweli kwa uchambuzi wako uliomakini sana.. Hakuna mchezaji wa Simba anayeweza kukaa katika kikosi cha kwanza cha Yanga.
Asante kwa kukubali ukweli mkuu....
 
Mimi mwana simba ila yanga wapo wachezaji simba wanaweza kupata nafasi ila sizani kama itakuwa ya moja kwa moja wa Kwanza ni kipa Kakolanya,Gadiel michael,Toto kiungo mahiri na Yondani hao kwa nafasi zao wanaweza pata dakika za kucheza ila bado wanakazi ya ziada.
 
Hata simba tungecheza taifa mechi 9 tusingepoteza hata moja ona Tangu tumetoka mkoani tumevuna points ngpi?shida ya hizi timu zetu ni nje ya Dar mkuu sasa ww kwahyo style yko sijui HIFADHI MANENO YANGU
 
Yanga wanamfunga USM Algiers..mnaongelea Alliance na Ruvu shooting...Mikia day walikuja wale Asante Kotoko B jasho liliwatoka mpaka coach wao akawaambia wasiharibu sikukuu yenu...
 
Kocha Zahera alimwambia Tabwe sikupangi mpaka uwe kama Kagere. Kocha analinganisha wachezaji wake na walio superior .Umesikia Patrick Aussems akiongelea mchezaji wa timu pinzani?
Mechi zipo nyingi wenye kupiga kelele sasa baada ya mechi 10 na bado kuna mechi 28 ni wapuuzi.
Chezeni hata mechi tano za away halafu anzeni kuzungumza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…