Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,837
Ulitaka asemaje..Zahera alisema hakuna mchezaji mwenye akili Tanzania kama AjibuHata kocha wa simba alipoulizwa juu ya kumsajili Ajibu alisema hajaona mchezaji wa yanga kuweza kuja simba na kupata namba