Sioni Mwanasiasa wa Kuwapambania Wananchi. Wengi ni Wazee Waliojichokea na Madingi wenye Njaa.

Mishi Zawa

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2015
Posts
1,673
Reaction score
2,575
Nimeziona picha zilizotumwa mtandaoni zikiwaonyesha viongozi wa vyama vya siasa waliokua wakimsikiliza Samia, ama kwa hakika ni aibu na hawatii matumaini kwa Tanzania ijayo. Yani ule ukumbi ulipwaya, ni kama ombaomba walikua ukumbini wanamsikiliza Samia. Mwingine sijui kapigwa stroke kapona, mambo ya aibu aibu tu. CCM imekuja kuwa kitu cha hovyo kabisa.
 
Ndio maana yamerundikwa hapo kama mazuzu

Njaa njaa njaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…