Tulitaka amweke yoyote yule anayeona anafaa kuwa kwenye serikali yake LAKINI tupate muono (vision) ya kule anataka kutupeleka, tutajua hilo kwa kumwangalia huyo mteule wake.Mnaanza ngojera zenu , haya tajeni basi mlitaka aweke akina Nani kwenye Baraza la mawaziri ?? Akina nchimbi na January?
Hiyo sentensi ya mwisho.Sera zake kiuchumi zilikuwa ngumu na hatari, kuendelea kuzibeba zilikuwa ni mzigo mzito kwake na kwa taifa, huenda hata Magufuli mwenyewe ipo siku huenda angechoka na kukubali yaishe, lilikuwa ni suala la muda tu.
Tujipe muda lakini tusichoke kuchambua!
Asante ndugu yangu kwa kuliona hilo. Kwenye uchumi, Mama Samia ana mlima mrefu wa kuupanda, lakini anataka kujifanya kama haoni vile, wakati mlima upo mbele yake.Ni vile tu kulikuwa na kutishana na kupikwa kwa takwimu lakini hali yetu kiuchumi sio nzuri
Miradi mikubwa haijakamilika
Wastaafu mafao yao kizungumkuti
Watumishi mishahara mwaka 6 sasa
Biashara nyingi zimefunga wawekezaji wamepungi
Wakulima vilio
Deni la Taifa nimekuwa kubwa
Namuonea huruma sana Mama, kapokea mfupa mgumu mno, sijui ataanzia wapi. Kila la kheri.
Ilitakiwa na sura za mawaziri ziwe mpya ,..naamini Jiwe kutokuwepo will make a big difference ktk masuala ya kiuchumi.
Lakini mkuu nafanikio ya serikali iliyopita si yalitokana na hawa mawaziri aliowarudisha tena, binafsi sikuona haja ya kubadilisha mawaziri ateue tena wapya.Ilitakiwa na sura za mawaziri ziwe mpya ,
Wenye wivu kesheni mkiomba.
Hata wakitolewa utateuliwa wewe au mmeo?
Na mimi nasema tumpe muda, lakini tusiache kumchambua!Tumpe muda samia
Kama ni fisadi lazima uende shimoniKisa mwanamke mwenzio ety atakama anatupeleka shimoni