Wapo akina Mizengo Pinda, Lowassa n.kUlitaka amweke nani,philiph hana makundi mkuu...
Babati..lawai gute ghae..!Huyu kafeli toka kwa Mpango ndiyo maana mi nilikataa toka mwanzo kuwa huyu hatafanya chochote cha maana.
Mizengo Pinda, Lowassa, Dr Salim, January Makamba n.kBabati..lawai gute ghae..!
Eti tuambie wewe ulitaka mama amteue nani kwenye hiyo nafasi ya makamu?
Tusaidie hapo kidogo
Hahaha...nacheka kwa dharau..pinda huyuu huyu ninaemjua mm! January muimba mashairi tweter! Hana sifa ya uongozi hata chembe..arudishe kwanza mkopo wa nssf..alaf nawashangaa wanaomsifia january...kwa lipi hilo? Kafanya jambo gani la kusifiwa? Hatuhitaj wez serikalini..yule hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijijiMizengo Pinda, Lowassa, Dr Salim, January Makamba n.k
Huo ni mtazamo wakoHahaha...nacheka kwa dharau..pinda huyuu huyu ninaemjua mm! January muimba mashairi tweter! Hana sifa ya uongozi hata chembe..arudishe kwanza mkopo wa nssf..alaf nawashangaa wanaomsifia january...kwa lipi hilo? Kafanya jambo gani la kusifiwa? Hatuhitaj wez serikalini..yule hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji
Ndio wakina vigogo2014 wenyewe hawaMnaanza ngojera zenu. Haya tajeni basi mlitaka aweke akina Nani kwenye Baraza la mawaziri? Akina nchimbi na January?
Nyerere yupiKwa sasa hakuna mwenye dhamira ya dhati ya kumkomboa Mtz ,Nyerere tu ndio alikuwa na nia ya kulikomboa taifa waliobaki wote wapiga deal..
Unayemjua wewe.Nyerere yupi