Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,735
- 5,974
Poleni kwa Kazi wakuu, najua kila mtu anayo kazi yake ilimradi mwenyewe ukiwa umeikubali na inakufanya uwe busy. Nimekua nikijiuliza, hivi ni kitu gani mwanamke anakihitaji hasa kwa mwanaume ili aweze kutulia asihangaike kwa wengine na mwanaume ajiamini kuwa na mke.
Wanaume wamejazana huko gym wanatafuta six pack, ili kufanya mtoto wa kike avutike nae atulie, lakini hiyo haitoshi, utaambiwa pesa na mizinga mizito.
Wanaume sasa wamekua walaji wa limau, utakuta wamejaza maji ya moto kwenye kichupa na kukatia limau kila waendako kama vile mabek 3 wananyonyesha mtoto, kisa tu kupunguza mwili na kitambi ili kuwavutia wanawake lakini wapi, utaambiwa pesa na mizinga mizito.
Wanaume sasa wanajaa kwenye vijiwe vya kahawa na pweza, wakiamini wanaenda kuboost charger zao ili wakajenge heshima kunako 6/6, lakini jitihada zao zote huko uwanjani, hata umkojoze kwa kiasi gani, utaambiwa pesa na mizinga mizito. Sasa ukijitokeza na pesa zako umfanyie gharama zote hizo na umpe kila atakacho na umjaze na PESA kibao, amini hizo Pesa, atazichukua na kumpelekea anayeweza kumkojoza vizuri, looh! Ajabu sana.
Hivi kweli, akina miss wa leo, hata ujikunje vipi, usimamie vidole, ukung'ute wote wa kwenye kikopo, unafikiri kwa uhodari wako utapewa mbunye ila pesa? Hatujakwepa kutoa pesa wala kumgharamia mwanamke, lakini mambo yawe yana balance, kama una furaha kukojozwa, basi kuwepo na unafuu wa gharama kwa mlaji kwakua, nawe unafurahia mambo haya, lakini ubaya, unapigwa mizinga mpaka unajuta kujuana.
Na ni wangapi waliokamilika wawe na pesa na awe na nguvu za Goliath?
Wanaume tupambane na hali yetu, hawa wanawake watatutafunisha mizizi ambayo isiyofaa kutafunwa, kwakua hawaeleweki kitu gani wanachokitaka.
Hamna sababu ya kutafuta ushujaa pasipo na tuzo.