Sioni sababu ya kufia kifuani pa mwanamke

Kutuelewa mnatuelewa ila mnajifanya viburi. Tunataka PESA. vibamia na vitambi tutavumiliana.
Acha kideko njoo apa ule ndizi tamu upunguze kelele

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
wanataka tuwe waref af wafup, wanene af wembamba, tuwe na hela af hatuna, tuwe wakal af wapole, wanjanja af mabwege, romantic af wababe, tuwe na six pak af warefu, tuwapge af tucwapge. yaan kma mung alyewaumba kashndwa kumridhsha mwanamke mamekap kbao, wanaume 2taweza kwel?? mungu atupe roh ya uvumiliv
 
Haha haha nimejikuta nacheka sana eti tusitafute ushujaa pasipo tuzo

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke anataka mwanaume mrefu, maji ya kunde! Awe na pesa, awe mcha Mungu, asiwe na wanawake wengine huko nje! Amjali, amheshimu, amhudumie, awajali nyumbani kwao.
Kwa ujumla mahitaji ya mwanamke ni mengi lakini engine ya mahitaji yao ni PESA tu.
 
B yake hata ss wanaume tunajua tunachotaka kwa hawa viumbe

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
kuwa kichwa ngumu tuu blaza.....hawa ni vipepeo ukimshika mabawa yanapukutika.....
 
wanataka tuwe waref af wafup, wanene af wembamba, tuwe na hela af hatuna, tuwe wakal af wapole, wanjanja af mabwege, romantic af wababe, tuwe na six pak af warefu, tuwapge af tucwapge. yaan kma mung alyewaumba kashndwa kumridhsha mwanamke mamekap kbao, wanaume 2taweza kwel?? mungu atupe roh ya uvumiliv
Umemaliza mkuu
 
Haha haha nimejikuta nacheka sana eti tusitafute ushujaa pasipo tuzo

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] kwani uongo mkuu! Tunateketea..
 
Sio wote ila hao uliowasema nawatafutia jina lao special bado sijapata linalowafaa

Sent from my Falcon Supernova Pink Diamond iPhone 6 (Price: 95.5 Million U$)
 
Mwanamke anaweza kughibu kwa kukuita baby kumbe anaficha Jambo. Atakujibu dry kumbe kumbe kafingua account mpya antaka usepe. Atasifia kwa Jirani kumbe anakuambia wewe huna kitu mh! Hawaeleweki. Bora mfumo dume ndo kiboko yao. Akija na hizi weee SHUT UP!

Sent from my TECNO W1 using JamiiForums mobile app
 
Hawa viumbe ni wa kuwa nao makini saaana
 
Back
Top Bottom