Sioni sababu ya kufia kifuani pa mwanamke

Sioni sababu ya kufia kifuani pa mwanamke

Poleni kwa Kazi wakuu, najua kila mtu anayo kazi yake ilimradi mwenyewe ukiwa umeikubali na inakufanya uwe busy. Nimekua nikijiuliza, hivi ni kitu gani mwanamke anakihitaji hasa kwa mwanaume ili aweze kutulia asihangaike kwa wengine na mwanaume ajiamini kuwa na mke.

Wanaume wamejazana huko gym wanatafuta six pack, ili kufanya mtoto wa kike avutike nae atulie, lakini hiyo haitoshi, utaambiwa pesa na mizinga mizito.
Wanaume sasa wamekua walaji wa limau, utakuta wamejaza maji ya moto kwenye kichupa na kukatia limau kila waendako kama vile mabek 3 wananyonyesha mtoto, kisa tu kupunguza mwili na kitambi ili kuwavutia wanawake lakini wapi, utaambiwa pesa na mizinga mizito.

Wanaume sasa wanajaa kwenye vijiwe vya kahawa na pweza, wakiamini wanaenda kuboost charger zao ili wakajenge heshima kunako 6/6, lakini jitihada zao zote huko uwanjani, hata umkojoze kwa kiasi gani, utaambiwa pesa na mizinga mizito. Sasa ukijitokeza na pesa zako umfanyie gharama zote hizo na umpe kila atakacho na umjaze na PESA kibao, amini hizo Pesa, atazichukua na kumpelekea anayeweza kumkojoza vizuri, looh! Ajabu sana.

Hivi kweli, akina miss wa leo, hata ujikunje vipi, usimamie vidole, ukung'ute wote wa kwenye kikopo, unafikiri kwa uhodari wako utapewa mbunye ila pesa? Hatujakwepa kutoa pesa wala kumgharamia mwanamke, lakini mambo yawe yana balance, kama una furaha kukojozwa, basi kuwepo na unafuu wa gharama kwa mlaji kwakua, nawe unafurahia mambo haya, lakini ubaya, unapigwa mizinga mpaka unajuta kujuana.

Na ni wangapi waliokamilika wawe na pesa na awe na nguvu za Goliath?
Wanaume tupambane na hali yetu, hawa wanawake watatutafunisha mizizi ambayo isiyofaa kutafunwa, kwakua hawaeleweki kitu gani wanachokitaka.

Hamna sababu ya kutafuta ushujaa pasipo na tuzo.
ukipata mwanamke mwenye hofu ya MUNGU mambo haya yatakuwa hadith kwako
kumbuka mara nyingi tabia yako na mazingira na mwenendo wa maisha yako ndio unaokukutanisha na wanawake wa hulka flani japo unaweza kuwa mwema na bado ukakosa mwema ni majaribu tu ya dunia
pia tukumbuke mambo tunayoyalalamikia sisi wanaume kwa wake na wachumba zetu yanafanywa kwa ushirikiano mzuri kabisa kati yetu na wao
kama mwanamke anatembea na mtu mwingine means anayetembea nae ni mwanaume na si ajabu ni mume wa mtu
kwahiyo tunapolalamika tuwape nini wake zetu ili watulie na sisi tujiulize tupewe nini ili tutulie maana wapo wanaume wasiolizika tena wakutosha tu
 
Dawa ya wanawake ni kua nao wengi, yani mmoja akizngua mwengne anakubembeleza ivo yani.
Uko sawa...hapa nimezinguana na mmoja juzi kisa mizinga ya kipuuzi, hivi ishakula kwake maana nshashift kwa mwingine..
Ukijifanya mwaminifu sijui una demu mmoja inatafuna kwako!
 
46e6680aa11d4475f409c5e8927ddd75.jpg


Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
huyo mwenye microphone ni mchungaji? kama ndie hapa wachache sana wa kuelewa.
 
Uko sawa...hapa nimezinguana na mmoja juzi kisa mizinga ya kipuuzi, hivi ishakula kwake maana nshashift kwa mwingine..
Ukijifanya mwaminifu sijui una demu mmoja inatafuna kwako!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Wewe unataka ufie wapi Mkuu!!??

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Tatizo unajifanya mtumwa kwenye papuchino.
Vitu vyote vinahitaji kiasi mean that, Uwe na pesa, piga mashine na afya nzuri jiupeshe na vitambi vya ovyo hovyo.
 
Mi jamani sidanganyi kwa mtu ninaempenda namuonea huruma yaani hata kumuombaomba hela au kumkwaza naumia mimi eti

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Nilishawahi Pata Girl wa Type yko Aisee mnakuwaga Na True Love[emoji7] [emoji813] [emoji813] [emoji813] [emoji772] [emoji772] [emoji772]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ila nimeamini hawa viumbe na PESA ka mbu na damu. Wife wangu ni mtu reasonable sana, nimetoka nae mbali sana so namwelewa vizuri. Lakini huwezi kuamini pamoja na kwamba ana kazi yeke fresh na anapata fedha nzuri tu, still anatolea macho na kupigia bajeti vijisenti vyangu. Nikimwambia tu leo nimepata vijisenti vya ziada, mood ya siku hiyo itakuwa utadhani mpo honey moon. Wadada kwa nini hamzoei hela?
Same same na wife duh.......yaani siku nkimwambia shimo limetema ntapewa papuchi mpaka niombe poo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
My Best Movie Moses by Steven Kanumba Ime Nipa Point za Kuishi Na Hawa Viumbe.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hawaleweki hawa viumbe. Lakini yote kwa yote amini nakwmbia ukimpata mcha mungu, anaye ongozwa na kanuni za kiroho hutopata tabu zote hizo. Ila na wewe uwe tu mcha mungu.
Wengi tunapata tabu kwa kuwa tunakuwa na watu wanaoongozwa na kanuni za kidunia.
Neno zuri sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom