Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Nakupa mfano tu..kuna watu hapa wanalalamika kila siku mara dem anavaa chupi imetoboka..sijui ananuka jasho. Mwingine alisema dem wake anavaa hivyo hovyo.demi mdogo wangu hujambo? i hope uko poa nataka kukushauri kitu hapa and i hope it's allright for you to let me do so..mdogo wangu tambua kwamba pesa isingekuwepo maisha haya kama kusingekua na AKILI,kwa maana kwamba bila akili PESA IS NOTHING!,pesa imeundwa na binadamu kwa kutumia akili hivyo PESA SIO KILA KITU kwa sababu sio kila kitu unaweza kukipata kwa kutumia pesa ila AKILI NDIO KILA KITU KWA SABABU UNAWEZA KUPATA KILA KITU UNACHOTAKA KWA KUTUMIA AKILI! mdogo wangu tafuta akili,pata akili,tumia akili vizuri,komaa na akili pesa zitajileta zenyewe tu tena kwa kiwango kikubwa sana bila kutarajia,sisemi kwamba msiwaombe wapenzi wenu pesa au kuwapiga mizinga hapana ila style mnayotumia SIO! na kwa ATTITUDE hiyo ndiyo maana ME wengi siku hizi wanakuja humu kila siku kulalamika kwa sababu wanaona hilo ni tatizo kubwa sana kwao! hali hiyo inapelekea kuwa wagumu sana kukidhi mahitaji yenu hasa ya kipesa na mgegedo! so you see kutokana na hilo hupati unachostahili au unachotaka na kukitarajia.Ninakuhakikishia kwamba kama utakua na matumizi smart ya akili utajikuta unawashangaa wanawake wenzio wanaolalamikia wanaume kutowaridhisha kipesa kwa sababu kwa upande wako pesa zitakua zinajileta zenyewe,kumbuka mwanaume kwa mwanamke ni kama nyama kwa simba au mfupa kwa fisi au chuma kwa sumaku,samahani mdogo wangu kwa kukuchosha kwa ujumbe huu mrefu lakini naamini utakusaidia sana kama utaamua kuutilia maanani,wasalimie sana marafiki zako,kama una swali karibu sana.
.
.
Hebu niambie..we umemtongoza dem hujui hata maisha yake yapoje kuichumi..unategemea aje kwako anavutia kapigilia pamba ufurahi? Kwanini usijiongeze umpe hela akabadilishe muonekano ili muendane sawa? Lkn mtaishia kuponda tuuu.
Kazi ya mwanaume ni kumfanya mpenzi wake au mke wake apendeze. Na hapa nazungumzia serious relationships sio yale manungaembe mnayoyafukuzia huko mtaani. Ukimpenda mtu seriously be responsible la sivyo atashawishika kwingine. Na pia muwe na ujasiri wa kuwapa live wapenzi wenu. Kama kazidisha mizinga na hana la maana analofanya mchane live aache hiyo tabia.