Sioni sababu ya kufia kifuani pa mwanamke

mwanaume msimamo...kama sitaki ni sitaki kweli

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Sio wanawake wote na kam mwanamke akikupenda sio rais kukupga mizinga kama me naonaga aibu sana kuomb ela maybe anpe mwenyew but kumwomb n ngum sana kwang
Muko wachache Sana
 
Mi jamani sidanganyi kwa mtu ninaempenda namuonea huruma yaani hata kumuombaomba hela au kumkwaza naumia mimi eti

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kama ni kweli, naomba tuyajenge kwa dhati kabisaaaa... Najua sitompata mwingine, this is my opportunity... Niwekee namba huko PM
 
Poleni kwa Kazi wakuu, najua kila mtu anayo kazi yake ilimradi mwenyewe ukiwa umeikubali na inakufanya uwe busy. Nimekua nikijiuliza, hivi ni kitu gani mwanamke anakihitaji hasa kwa mwanaume ili aweze kutulia asihangaike kwa wengine na mwanaume ajiamini kuwa na mke.

Wanaume wamejazana huko gym wanatafuta six pack, ili kufanya mtoto wa kike avutike nae atulie, lakini hiyo haitoshi, utaambiwa pesa na mizinga mizito.
Wanaume sasa wamekua walaji wa limau, utakuta wamejaza maji ya moto kwenye kichupa na kukatia limau kila waendako kama vile mabek 3 wananyonyesha mtoto, kisa tu kupunguza mwili na kitambi ili kuwavutia wanawake lakini wapi, utaambiwa pesa na mizinga mizito.

Wanaume sasa wanajaa kwenye vijiwe vya kahawa na pweza, wakiamini wanaenda kuboost charger zao ili wakajenge heshima kunako 6/6, lakini jitihada zao zote huko uwanjani, hata umkojoze kwa kiasi gani, utaambiwa pesa na mizinga mizito. Sasa ukijitokeza na pesa zako umfanyie gharama zote hizo na umpe kila atakacho na umjaze na PESA kibao, amini hizo Pesa, atazichukua na kumpelekea anayeweza kumkojoza vizuri, looh! Ajabu sana.

Hivi kweli, akina miss wa leo, hata ujikunje vipi, usimamie vidole, ukung'ute wote wa kwenye kikopo, unafikiri kwa uhodari wako utapewa mbunye ila pesa? Hatujakwepa kutoa pesa wala kumgharamia mwanamke, lakini mambo yawe yana balance, kama una furaha kukojozwa, basi kuwepo na unafuu wa gharama kwa mlaji kwakua, nawe unafurahia mambo haya, lakini ubaya, unapigwa mizinga mpaka unajuta kujuana.

Na ni wangapi waliokamilika wawe na pesa na awe na nguvu za Goliath?
Wanaume tupambane na hali yetu, hawa wanawake watatutafunisha mizizi ambayo isiyofaa kutafunwa, kwakua hawaeleweki kitu gani wanachokitaka.

Hamna sababu ya kutafuta ushujaa pasipo na tuzo.
46e6680aa11d4475f409c5e8927ddd75.jpg

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Asipotulia ni tabia yake tu. Pesa ni nature yetu kama vile nyie wanaume nature yenu ilivyo ya kutotosheka na mwanamke mmoja. Tuvumiliane tu ndugu!
Sasa mbona mnapewa pesa na bado mnakuwa na wanaume wengi

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kama ni kweli, naomba tuyajenge kwa dhati kabisaaaa... Najua sitompata mwingine, this is my opportunity... Niwekee namba huko PM
Haaaa haya bhana umetisha

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ila nimeamini hawa viumbe na PESA ka mbu na damu. Wife wangu ni mtu reasonable sana, nimetoka nae mbali sana so namwelewa vizuri. Lakini huwezi kuamini pamoja na kwamba ana kazi yeke fresh na anapata fedha nzuri tu, still anatolea macho na kupigia bajeti vijisenti vyangu. Nikimwambia tu leo nimepata vijisenti vya ziada, mood ya siku hiyo itakuwa utadhani mpo honey moon. Wadada kwa nini hamzoei hela?
 
Nimemaliza kazi mapema leo, ngoja nikammwagishe maji Diana Hamugembe Cocktail pale
 
Kutuelewa mnatuelewa ila mnajifanya viburi. Tunataka PESA. vibamia na vitambi tutavumiliana.
demi mdogo wangu hujambo? i hope uko poa nataka kukushauri kitu hapa and i hope it's allright for you to let me do so..mdogo wangu tambua kwamba pesa isingekuwepo maisha haya kama kusingekua na AKILI,kwa maana kwamba bila akili PESA IS NOTHING!,pesa imeundwa na binadamu kwa kutumia akili hivyo PESA SIO KILA KITU kwa sababu sio kila kitu unaweza kukipata kwa kutumia pesa ila AKILI NDIO KILA KITU KWA SABABU UNAWEZA KUPATA KILA KITU UNACHOTAKA KWA KUTUMIA AKILI! mdogo wangu tafuta akili,pata akili,tumia akili vizuri,komaa na akili pesa zitajileta zenyewe tu tena kwa kiwango kikubwa sana bila kutarajia,sisemi kwamba msiwaombe wapenzi wenu pesa au kuwapiga mizinga hapana ila style mnayotumia SIO! na kwa ATTITUDE hiyo ndiyo maana ME wengi siku hizi wanakuja humu kila siku kulalamika kwa sababu wanaona hilo ni tatizo kubwa sana kwao! hali hiyo inapelekea kuwa wagumu sana kukidhi mahitaji yenu hasa ya kipesa na mgegedo! so you see kutokana na hilo hupati unachostahili au unachotaka na kukitarajia.Ninakuhakikishia kwamba kama utakua na matumizi smart ya akili utajikuta unawashangaa wanawake wenzio wanaolalamikia wanaume kutowaridhisha kipesa kwa sababu kwa upande wako pesa zitakua zinajileta zenyewe,kumbuka mwanaume kwa mwanamke ni kama nyama kwa simba au mfupa kwa fisi au chuma kwa sumaku,samahani mdogo wangu kwa kukuchosha kwa ujumbe huu mrefu lakini naamini utakusaidia sana kama utaamua kuutilia maanani,wasalimie sana marafiki zako,kama una swali karibu sana.
 
Unaonekana mwenye busara aisee... natamani nipate hata contact zako
 
Kweli umenichosha ndugu yangu. Ujumbe wako mrefu sana nimeusoma kiubishibishi tu kwasababu umeniquote. Sitetei mizinga ya kijingajinga na natambua wapo wanawake wanaomba omba sana na ni kero kwa mwanaume yoyote yule.
Point yangu ni kuwa wanaume muache kulia lia kuwa mnapigwa mizinga. Si lazima kutoa. Na tatizo la wengi wanavyotongoza wanajibust bust tu kuwa mambo safi kumbe hakuna kitu. Na wanaume wengi wanataka papuchi tu hlf wanasepa thats y wasichana nao wamebase sana kwenye pesa.
.
.
Naamini kabisa ukiwa na mpenzi wako na kama anauhitaji wa pesa utamsaidia kadri ya mfuko wako unavyoruhusu na utamsaidia kwa mambo ya msingi tu. Na pia kama anakupenda hata kupiga mizinga kila siku.
Siku hizi ni kama vile hakuna mapenzi, mwanaume anawaza kumla mwanamke na mwanamke anawaza kumchuna mwanaume. Hii ipo kwa vijana wengi sasa hivi.
Watu tuna wapenzi wetu hatuwasumbui kihivyo na tunasaidiana ikibidi, hata mimi naweza kumsaidia mwanaume kama tumeshibana sana si tatizo.
Pia angalieni pia na wasichana wa kudate nao..tatizo mnachukua wasichana machokoraa hata kwa muonekano tu unadhani ana mapenzi ya kweli? bora mchunwe tu maana hakuna namna.
.
.
Mimi naamini mtu akinipenda atasaidia au kunihudumia ikibidi, silazimishi mtu anipe na nikuomba nisipopewa sina tatizo, kama nampenda bado nitaendelea kuwa nae.
.
.
Ila nikwambie tu ndugu. Raha ya mpenzi akuhudumie, akusaidie, akuspoil kwa vitu vidogo vidogo, wanawake tumeumbwa hivyo.
So ni wewe tu kutambua je haya mahusiano ni ya kweli au ni kugonga na kusepa?
.
.
SIO LAZIMA UTOE. MWAMBIE KABISA SINA HELA AU SIWEZI KUKUPA. Kwani mnashindwa nini kusema moja moja mpka mje kulialia hapa?
Hii barua ndefu kweli kweli sijui umenielewa mdogo wangu?
 
Back
Top Bottom