BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Ndugu zako ndo wanapiga kelele
Basi mchuchu nisamee ila uje uchukue tamu,..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zako ndo wanapiga kelele
TeheteheteheMimi ndio yule mhenga niliyesema Jogoo la shamba haliwiki mjini. Bora urudi Kolomije boss wangu, hwwa wa mjini sisi ndio tunajua wanahitaji nini.
Kutuelewa mnatuelewa ila mnajifanya viburi. Tunataka PESA. vibamia na vitambi tutavumiliana.
Pesa ndo msingi. Tuelewe tu mkuu
Muda wa kuringa ni ujanani. Nani alikuambia kuwa wakina mama wa zamani walikuwa hawapewi pesa?Mnataka pesa!Hm. Mola aliwajulia mnakua kama sabuni.Unalinga weeeee,baada ya miaka unaenda kuongeza idadi ya wapiga majungu na taarabu tu,maana tamaa ya utotoni ukishazeeka hakuna wa kukuangalia.Hizo starehe zinabaki kumbukumbu.
Mbona mama zenu hizo pesa hawakupewa walishindwa kuwazaa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usimuamin mwanamke... Mkiachana atakutangaza una kibamia
Hawa viumbe hawajawahi kumwacha mtu salama katika zama zote, mimi siwaamini hata kidogo isipokuwa mama yangu,tuishi nao kwa akili sanaPoleni kwa Kazi wakuu, najua kila mtu anayo kazi yake ilimradi mwenyewe ukiwa umeikubali na inakufanya uwe busy. Nimekua nikijiuliza, hivi ni kitu gani mwanamke anakihitaji hasa kwa mwanaume ili aweze kutulia asihangaike kwa wengine na mwanaume ajiamini kuwa na mke.
Wanaume wamejazana huko gym wanatafuta six pack, ili kufanya mtoto wa kike avutike nae atulie, lakini hiyo haitoshi, utaambiwa pesa na mizinga mizito.
Wanaume sasa wamekua walaji wa limau, utakuta wamejaza maji ya moto kwenye kichupa na kukatia limau kila waendako kama vile mabek 3 wananyonyesha mtoto, kisa tu kupunguza mwili na kitambi ili kuwavutia wanawake lakini wapi, utaambiwa pesa na mizinga mizito.
Wanaume sasa wanajaa kwenye vijiwe vya kahawa na pweza, wakiamini wanaenda kuboost charger zao ili wakajenge heshima kunako 6/6, lakini jitihada zao zote huko uwanjani, hata umkojoze kwa kiasi gani, utaambiwa pesa na mizinga mizito. Sasa ukijitokeza na pesa zako umfanyie gharama zote hizo na umpe kila atakacho na umjaze na PESA kibao, amini hizo Pesa, atazichukua na kumpelekea anayeweza kumkojoza vizuri, looh! Ajabu sana.
Hivi kweli, akina miss wa leo, hata ujikunje vipi, usimamie vidole, ukung'ute wote wa kwenye kikopo, unafikiri kwa uhodari wako utapewa mbunye ila pesa? Hatujakwepa kutoa pesa wala kumgharamia mwanamke, lakini mambo yawe yana balance, kama una furaha kukojozwa, basi kuwepo na unafuu wa gharama kwa mlaji kwakua, nawe unafurahia mambo haya, lakini ubaya, unapigwa mizinga mpaka unajuta kujuana.
Na ni wangapi waliokamilika wawe na pesa na awe na nguvu za Goliath?
Wanaume tupambane na hali yetu, hawa wanawake watatutafunisha mizizi ambayo isiyofaa kutafunwa, kwakua hawaeleweki kitu gani wanachokitaka.
Hamna sababu ya kutafuta ushujaa pasipo na tuzo.
Asipotulia ni tabia yake tu. Pesa ni nature yetu kama vile nyie wanaume nature yenu ilivyo ya kutotosheka na mwanamke mmoja. Tuvumiliane tu ndugu!Pesa ndo msingi,mwanzo mwisho! Mbona hata mkizipata hamkai mkatulia?!
Muda wa kuringa ni ujanani. Nani alikuambia kuwa wakina mama wa zamani walikuwa hawapewi pesa?
Asipotulia ni tabia yake tu. Pesa ni nature yetu kama vile nyie wanaume nature yenu ilivyo ya kutotosheka na mwanamke mmoja. Tuvumiliane tu ndugu!
Haaaaa demi umenishinda tabiaKutuelewa mnatuelewa ila mnajifanya viburi. Tunataka PESA. vibamia na vitambi tutavumiliana.
Kwani tatizo ni pesa au ni kazi ya hizo pesa?Uliwahi sikia aliyepewa pesa enzi hizo kaenda kutolea mimba ya mwanaume mwingine? Au yupo uliehadithiwa alipewa akaenda kuwakopesha wenzake na kuwapangishia vyumba mabwana zake?
Kama ninavyosema mie inaezekana wanaume wenye mapenzi ya dhati wako sayari ya plutoMimi nazani awa wanawake wote wangepelekwa katika sayari yao na kutafuta uzao mwingine unajielewa na kujitambua!lakini awa wa sayari ya dunia ni pasua kichwa!
Wanaoendeshwa kwa kanuni za dunia ni wachache mnooo, na ni wanaume wenye bahati sana huwapata!Hawaleweki hawa viumbe. Lakini yote kwa yote amini nakwmbia ukimpata mcha mungu, anaye ongozwa na kanuni za kiroho hutopata tabu zote hizo. Ila na wewe uwe tu mcha mungu.
Wengi tunapata tabu kwa kuwa tunakuwa na watu wanaoongozwa na kanuni za kidunia.
Nisipopewa ujue sijataka kupewa na si kila mwanaume ni wa kumwomba hela. Wanaojitambua wanatoa hata kabla hujaomba kwasababu wanaelewa wajibu wao. Pambana na hali yako!Wa ivi ndo mnatumika ata mia ampewi,..
Nisipopewa ujue sijataka kupewa na si kila mwanaume ni wa kumwomba hela. Wanaojitambua wanatoa hata kabla hujaomba kwasababu wanaelewa wajibu wao. Pambana na hali yako!
Ni kweli mkuu, na mbaya zaidi akalitambua hilo aisee utazeeka kabila ya wakati wako.Woga wako ndo umasikini wako,... Mwanaume unatakiwa ujiamin,.. Usipojiamin mwanamke atakupelekesha sana
Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
Ni kweli mkuu, na mbaya zaidi akalitambua hilo aisee utazeeka kabila ya wakati wako.