BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Acha kideko njoo apa ule ndizi tamu upunguze keleleKutuelewa mnatuelewa ila mnajifanya viburi. Tunataka PESA. vibamia na vitambi tutavumiliana.
Umemaliza mkuuwanataka tuwe waref af wafup, wanene af wembamba, tuwe na hela af hatuna, tuwe wakal af wapole, wanjanja af mabwege, romantic af wababe, tuwe na six pak af warefu, tuwapge af tucwapge. yaan kma mung alyewaumba kashndwa kumridhsha mwanamke mamekap kbao, wanaume 2taweza kwel?? mungu atupe roh ya uvumiliv
Hawa viumbe ni wa kuwa nao makini saaanaMwanamke anaweza kughibu kwa kukuita baby kumbe anaficha Jambo. Atakujibu dry kumbe kumbe kafingua account mpya antaka usepe. Atasifia kwa Jirani kumbe anakuambia wewe huna kitu mh! Hawaeleweki. Bora mfumo dume ndo kiboko yao. Akija na hizi weee SHUT UP!
Sent from my TECNO W1 using JamiiForums mobile app
I love just the way you are my king..
Ndugu zako ndo wanapiga keleleAcha kideko njoo apa ule ndizi tamu upunguze kelele
Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app