Sioni sababu ya kufia kifuani pa mwanamke

Nakupa mfano tu..kuna watu hapa wanalalamika kila siku mara dem anavaa chupi imetoboka..sijui ananuka jasho. Mwingine alisema dem wake anavaa hivyo hovyo.
.
.
Hebu niambie..we umemtongoza dem hujui hata maisha yake yapoje kuichumi..unategemea aje kwako anavutia kapigilia pamba ufurahi? Kwanini usijiongeze umpe hela akabadilishe muonekano ili muendane sawa? Lkn mtaishia kuponda tuuu.
Kazi ya mwanaume ni kumfanya mpenzi wake au mke wake apendeze. Na hapa nazungumzia serious relationships sio yale manungaembe mnayoyafukuzia huko mtaani. Ukimpenda mtu seriously be responsible la sivyo atashawishika kwingine. Na pia muwe na ujasiri wa kuwapa live wapenzi wenu. Kama kazidisha mizinga na hana la maana analofanya mchane live aache hiyo tabia.
 
ewaaa! ujumbe murua kabisa nimekuelewa sana mdogo wangu na nashukuru kwa kunipa feedback nakuhakikishia ujumbe wako nitaufanyia kazi tena nimeamua kujipanga kufanya ziara rasmi ya kuwafikishia huu ujumbe wanaume wenzangu na kuwaelimisha ili waache kulialia hapa jf badala yake tutafute chanzo cha tatizo ili kupata suluhisho kesho jioni nitakua kolomije then baada ya siku mbili nitakua chattle baada ya hapo nitajua nielekee wapi usisahau kunijulisha zawadi ya kukuletea maana naamini ujumbe wako utafurahiwa sana na zawadi zitakua nyingi.
 
this is food for thought! umeeleweka mdogo wangu,i'll be back..
 
Zawadi ya kuniletea ni pesa tu kwa kweli..teh teh
 
Huo ni Utumwa wa fikra za mapenzi.
Wa kukupenda atakupenda tu, hata kama hujaenda gym. Mnajiongezea majukumu yasiyo na msingi.
Watu, wanahangaika kutafuta visivyotafutika maishani.
Amini, nawaambia; hawa wanawake tumeletewa sisi wanaume. Hata ungekuwa Shapeless utapata mke mzuri tu.
Tuwe na mioyo ya kuridhika na kutosheka tu.
Hongereni wanaokwenda kimazoezi zaidi

Sent from my Infinix HOT 3 using JamiiForums mobile app
 
Haaaa haya bhana umetisha

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Hilo sio jibu langu my dear,.. Wewe nimekuona unatimiza ndoto yangu,... Njoo PM
 
Sijui kama atakuelewa,.. Ila umemsaidia
 
Mizinga haifanani na penzi linalotolewa,.. Halafu uongo na visingizio vingi linapokuja hitaji la Mwanaume kwa mwanamke.... Hakuna anayekataa majukumu penye penzi la kweli,.. Issue nyie mmekua wanahewa,.. Mnataka wanaume wengi lakini huduma haibalance....
 
Pambana na hali yako

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ndio yule mhenga niliyesema Jogoo la shamba haliwiki mjini. Bora urudi Kolomije boss wangu, hwwa wa mjini sisi ndio tunajua wanahitaji nini.
chunguza vizuri unaweza jikuta unashangaa kugundua kua hayo hayo majogoo ya shamba from kolomije ndio yanayomtafuna wife/dem wako na pesa unazompa yanapewa hayo majamaa dizaini hiyo.
 
Mimi nazani awa wanawake wote wangepelekwa katika sayari yao na kutafuta uzao mwingine unajielewa na kujitambua!lakini awa wa sayari ya dunia ni pasua kichwa!
hapo unamkosoa aliyeweta dunia hii,ukichunguza vizuri unaweza kugundua kwa asilimia kubwa mimi au wewe na wengine dizaini yako ndio tunaosababisha hawa viumbe wawe hivi.
 
Mwanamke anataka mwanaume mrefu, maji ya kunde! Awe na pesa, awe mcha Mungu, asiwe na wanawake wengine huko nje! Amjali, amheshimu, amhudumie, awajali nyumbani kwao.
Kwa ujumla mahitaji ya mwanamke ni mengi lakini engine ya mahitaji yao ni PESA tu.
maisha haya ukiwa mtu wa kukariri utaumia sana kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…