Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Chafema tutashinda kwa uwezo wa Mungu
We nawe kama hanaja tu siku hizi. Umekuwa Taicoon wa mchongo.Hamjambo Wote!
Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.
Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu.
CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi kutumiwa na Maadui zao.
Fikiria Chadema walikuwa wanalalamika CCM inawanunua Watu wao. Badala ya wao kujilaumu kwa kuwa na wanachama ambao hununulika.
Sio kosa kwa CCM kununua Wanachama wengine upande wa upinzani.
Haya SASA CHADEMA yazuiwa kufanya shughuli zake na Mahakama kutokana na Kesi iliyoanzishwa na Mwanachama mwenzao kutokea Zanzibar.
Hivi hiyo inakuingia Akilini kweli?
Hapa hatuwezi walaumu CCM au Mahakama. Mwenye tatizo hapa ni CHADEMA wenyewe.
Chadema inapitia kipindi kigumu ambacho kitachuja makapi na kubakiza wapinzani halisi. Sasa sijajua watabaki wangapi maana numbers matter.
Watu kama Tundu Lisu wapo Wangapi Chadema? Hilo ndio swali.
Maana hao ndio wataweza mikikimikiki.
Kuliko hawa ambao wananunulika.
Hii pia inamaanisha Chadema kwenye kuchagua viongozi inatakiwa iwe Macho katika kuchagua mashujaa kwelikweli. Vinginevyo watawakatisha wengi tamaa!
Haya! Sisi tupo! Tunatazama.
Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
Kwenye hiyo kesi ushahidi umekamilika hadi mahakama ikatoa hukumu ya kusitishwa kwa shughuli za chama kwanza?? Kwa nini isingeacha kutoa amri hadi hapo kesi itakaposikilizwa kwa pande zote? Mwanao akienda kukushtaki hujamlipia ada basi papo hapo mahakama ikukataze kuzaa hadi pale utakapomsomesha mtoto.
We nawe kama hanaja tu siku hizi. Umekuwa Taicoon wa mchongo.
View attachment 3363414
Hamjambo Wote!
Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.
Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu.
CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi kutumiwa na Maadui zao.
Fikiria Chadema walikuwa wanalalamika CCM inawanunua Watu wao. Badala ya wao kujilaumu kwa kuwa na wanachama ambao hununulika.
Sio kosa kwa CCM kununua Wanachama wengine upande wa upinzani.
Haya SASA CHADEMA yazuiwa kufanya shughuli zake na Mahakama kutokana na Kesi iliyoanzishwa na Mwanachama mwenzao kutokea Zanzibar.
Hivi hiyo inakuingia Akilini kweli?
Hapa hatuwezi walaumu CCM au Mahakama. Mwenye tatizo hapa ni CHADEMA wenyewe.
Chadema inapitia kipindi kigumu ambacho kitachuja makapi na kubakiza wapinzani halisi. Sasa sijajua watabaki wangapi maana numbers matter.
Watu kama Tundu Lisu wapo Wangapi Chadema? Hilo ndio swali.
Maana hao ndio wataweza mikikimikiki.
Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA
Kuliko hawa ambao wananunulika.
Hii pia inamaanisha Chadema kwenye kuchagua viongozi inatakiwa iwe Macho katika kuchagua mashujaa kwelikweli. Vinginevyo watawakatisha wengi tamaa!
Haya! Sisi tupo! Tunatazama.
Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
Baada ya kukamilisha kazi...We nawe kama hanaja tu siku hizi. Umekuwa Taicoon wa mchongo.
View attachment 3363414
"Njia pekee ambayo Wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na Watawala wao ambao ni Madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa kupitia mtutu wa bunduki.*
Jeffs O'Brien.
Una changamoto kiakili.Hebu pumzika.Hamjambo Wote!
Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji.
Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu.
CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi kutumiwa na Maadui zao.
Fikiria Chadema walikuwa wanalalamika CCM inawanunua Watu wao. Badala ya wao kujilaumu kwa kuwa na wanachama ambao hununulika.
Sio kosa kwa CCM kununua Wanachama wengine upande wa upinzani.
Haya SASA CHADEMA yazuiwa kufanya shughuli zake na Mahakama kutokana na Kesi iliyoanzishwa na Mwanachama mwenzao kutokea Zanzibar.
Hivi hiyo inakuingia Akilini kweli?
Hapa hatuwezi walaumu CCM au Mahakama. Mwenye tatizo hapa ni CHADEMA wenyewe.
Chadema inapitia kipindi kigumu ambacho kitachuja makapi na kubakiza wapinzani halisi. Sasa sijajua watabaki wangapi maana numbers matter.
Watu kama Tundu Lisu wapo Wangapi Chadema? Hilo ndio swali.
Maana hao ndio wataweza mikikimikiki.
Soma Pia: Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA
Kuliko hawa ambao wananunulika.
Hii pia inamaanisha Chadema kwenye kuchagua viongozi inatakiwa iwe Macho katika kuchagua mashujaa kwelikweli. Vinginevyo watawakatisha wengi tamaa!
Haya! Sisi tupo! Tunatazama.
Robert Heriel
Taikon Master
Dar es salaam
Una changamoto kiakili.Hebu pumzika.
Na gawio linamsubiriaBaada ya kukamilisha kazi...
SIoni shida kuishtaki lakini naona shida kwenye uamzi uliotolewa ni kama kipele kilimkuta mkunaji hadi inaleta hofu kuwa hata aliyeshtaki alitumwaPamoja na hayo. Huoni tatizo kwa mwanachadema kuishataki chadema? Mimi hoja yangu ndio IPO hapo.
.ni sawa na Yule Mchome
Kijana tangu upewe hela dish linachezacheza