tasila haule
Member
- Sep 18, 2018
- 18
- 2
Kumbuka sio mtu anapanga kusikiliza wimbo flan ila media ndio zinatusikilizisha, mfano upo kwenye usafiri wa uma redio flan imepiga huo wimbo utawaambia wamiliki wa usafiri wautoe? hapo ndio watoto husikiliza na kuanza kuimba matusi.Mkiona shida kwani lazima msikilize hizo nyimbo za wcb jamani.... Hayo matoto yenu yenyewe yanakua na smartphone ila kazi yake ukiijua ndo utakoma hata sio music ndio inaharib jamii yenu sema mengine hata matendo yenu yanachangia bhna wakuu
Kumbuka sio mtu anapanga kusikiliza wimbo flan ila media ndio zinatusikilizisha, mfano upo kwenye usafiri wa uma redio flan imepiga huo wimbo utawaambia wamiliki wa usafiri wautoe? hapo ndio watoto husikiliza na kuanza kuimba matusi.
Wanaofirana na kusagana wanafanya hadharani? ndio maana nikasema faragha zao... lkn hawa mabwana wanaimba hadharani na nyimbo zao zinasikilizwa na watu wa kila rika.Lakini nyimbo zinazoimba 'nyege' ndio mbaya kuliko hao wanaofirana na kusagana,teh teh.
Ngoja nikuweke katika kundi la mapunguani,Inamana mtoto wako hajui neno nyege wala hajui matusi mkuu au hii nyimbo ndo imeleta matusi bongi
"Unafosi" ni nini?[emoji115] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasahivi mkuu misamiati unafosi kuitafuta tu
Hahaha hatuzipingi 'Nyege za Diamond' sababu sio sisi tunaemshusha.... tunapinga kitendo cha kututangazia kua ana Nyege... nadhani hapo ndio palipoanzia.Umeona akili zao wanaojifanya kupinga nyege ya mond[emoji17] ndo ujue maviii juu ya miojo