Sioni sababu ya kuufungia wimbo wa Mwanza

Karma is a bitch.....Misa anasmile kwa upole
Malipo ni hapa hapa mond na kundi lako mlijisahau sana
Uswahili mwingi haya kacheze na mama yako na baba yako wa kufikia huko madale.
 
Chuki binafsi na uteam inakusumbua ndio nachoona hapa
Karma is a bitch.....Misa anasmile kwa upole
Malipo ni hapa hapa mond na kundi lako mlijisahau sana
Uswahili mwingi haya kacheze na mama yako na baba yako wa kufikia huko madale.
 
Hauna mafunzo yoyote kwa jamii zaidi ya kupotosha maadili.
BTW mimi sina timu wala huo ushabiki wenu
Mjomba sio kila nyimbo ni yamafunzo kwa jamii wengine tunataka kutoa mastress ya jiwe tunataka kuparty !
 
Kuna mtaa unaitwa "KAGONGWA" huko kahama na huu wa "NYEGEZI" itabidi ifungwe ibadilishwe na jina maana sipati picha kwa mwenye kigugumizi kutamka maneno haya "nye nye nyege nyegezi " au "kaaa kaaa kaa gongwa" sasa wewe tafsiri kibasata
 
Kwanza kaharibu jina la kituo cha mabasi kwa sababu ukiusikua wimbo mzima hakuna sehemu anasifia mji wa nyegezi au kituo cha mabasi cha nyegezi bali anaongelea mademu tu
Hapo ndipo unapogundua hakuwa na lengo na mji kama nyegezi bali NYEGE kama NYEGE
Wimbo ni wa matusi mno so nalipongeza basata kwa kufungia huo wimbo
 
Basata endeleeni kupiga ban nyimbo zisizo epeweka... Safi sana
 
Wote mnaolalamikia basata kuifungia hiyo nyimbo hamuwez kuelewa mpk utakapomsikia mtt wako mdgo wa miaka lbd mi5 akiimba nyege nyegee
 
Nimeusikiliza wimbo wa Mwanza uliofungiwa na basata kwa Makini na nikafuatalia mashairi yake moja baada ya jingine kwa ukweli sijaona mahali penye kosa.!
Wimbo huu unaanza na kibwagizo kinachosifia moja kati ya maeneo ya Jiji la Mwanza Nchini Tanzania. "Nyegezi" na msanii huyu anaimba kwa madaha akijivunia kwao Mwanza " Nyegezi"! Akiimba kwa kukatisha "Nyege Nyegeee kwetu Mwanza Nyegezi "...

Beti la kwanza pamoja na maneno mengine anasema anaogopa "Central mambo ya Amber ruty" bila shaka akiwa anamaanisha anaheshimu sheria kwa mambo yaliyo kinyume na jamii...

Ukiendelea mbele sioni tatizo la kimashairi la wimbo huu. Kwa kazi ya sanaa.
Labda Basata watuambie kuwa Neno "Nyegezi" ni tusi kwa kiswahili

Na kwa maana hiyo ikitokea mtu kaimba. Kima.. kimaa akimaanisha " kimara" Dar es salaam ni tusi, vivyo akiima Tundu.. tunduu akimaanisha Tunduma mkoa wa Songwe naye tumfungie..

Mwisho ninachokiona ni chuki binafsi ama wivu usio kuwa na tija kwa baadhi ya wasanii. Mfano kuna sehemu Bwana mwingereza amenukuliwa na Global online Tv akisema "Yeye Diamond ni nani?".......

Kwa kauli hii tu inaonesha kuna namna ya ushindani wa kimamlaka pale mmoja anapotaka kuonesha nguvu yake ya kimamlaka.!

BASATA wangefungia pia Nyimbo kama "Mtalimbo umelala dolo" au " Mhogo wa Jang'ombe" ama "huo mtende wachanua"
Ama kachili kachili . Na nyinginezo nyingi ambazo zilikuwa na ujumbe mkali na wenye kuhamasisha ngono.

Nadiriki kusema BASATA mna nia ovu kwa msanuu huyu. Sio kuwa mnatimiza sheria la hasha. Nakumbuka hata mimi mlivyonisumbua mwaka 2005 mpaka 2009 nilipokuwa nataka kusajili kampuni yangu mpaka nikaamua kuwaachia zile document. Na kuendelea na maisha mengine. Acheni njaa zenu.
 
Mkuu simple tu.... Unaweza tamka neno nyege kwa bi mkubwa ako.... Mfano unasema"Mama napenda haya machungwa ya nyege? " Kama huwezi basi jibu unalo
 
Mkuu simple tu.... Unaweza tamka neno nyege kwa bi mkubwa ako.... Mfano unasema"Mama napenda haya machungwa ya nyege? " Kama huwezi basi jibu unalo
Haha duh, goja ni subir jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…