kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,528
- 6,856
. Huo ndio utaratibu tulojiwekea, ndo maana tulianzisha polisi, mahakama na magereza. Ukilinganisha vitendo vya utekaji, mateso, mauaji ,kupotezwa kwa wananchi kunakoshika kasi inchini, ni bora ten times kukubalina na njia sahihi ya kisheria ya kushugurikia watuhumiwa inayohusisha polis, mahakama, magereza.
.kama mifumo yote ikatenda haki angalau kwa mazingira ya inchi yetu, sioni sababu kulalamika lalamika mtu anaposhitakiw kwa mifumo rasmi ya kutoa haki. Labda kama haki zitakiukwa huko kwenye mamlaka husika.
Kuna kijana kakamatwa huko makinga na kupewa kesi ya utakatishaji pesa. Inasemekana ni baada ya kuwa active mitandaoni ku campaign No Reforms No Election. yombo vya sheria viachwe vishugulike naye, tutalalamika pale mahakama itaonesha kutotenda haki.