Hakuna kitu kinachojikera kama matuta kwenye hizi barabara zetu hasa freeways ni utopolo wa hali ya juu,T1 imejaa matuta hadi porini why?tuwekeni speed camera đź“· na tujenge road tolls,hizi zitakusanya Maputo na kudhibiti mwendo, uchafu wote pale Mikumi National Park ondoa, pls my minister, wewe umetembea na umeona wenzetu wanafanya nini,hapo Botswana kutoka Nata hadi Kasane ni mbuga ya wild animals (wakiishi pamoja na binadam)ni zaidi ya 300kms na hakuna hata tuta moja.Na lile tuta kama mlima pale lugalo... aisee siku atakufa waziri pale nishangilie. Highway unawekwa mlima kama ule??